VW Group huyo unaweza kusema untouchable.. Anabrands nyingi ndani yake.. Hizo brands zimecover vipengele almost vyote.. Kuanzia performance mpaka luxury..
Ila VW kama brand hiyo bado..
Haijafika level ya engines kama za BMW..
Haijafika level ya interior na luxury kama Mercedes..
Perfomance section yao R bado ni changa ukilinganisha na M ya BMW na AMG ya Mercedes..!
Wanajikongoja..!
VW kama brand haina uwezo wa kukaa meza moja na BMW au Mercedes..!
Audi kwenye VW Group ndio anajitahidi kwenda sawa na hao giants..
BMW 7 Series anakaa meza moja na Benz S Class wakipiga stori huku Audi A8 yupo jikoni akisikiliza conversation ya hao giants..!