Akili ya BMW kwenye Magari

Sure.. Kwenye handling wamedesign kweli kweli..

Consumption.. Hapa inategemea ipo kwenye chassis gani.. M54B30 kwenye heavy body ya E53 ni very thirsty tofauti na kwenye E46 330i..!
E46 na E53 gap ni kubwa sana.
 
Mkuu, hii kitu wala lengo sio kufanya battery idumu muda mrefu. Lengo ni kupunguza uzito upande mbele wa gari.

Mgawanyiko wa uzito wa gari kati ya mbele na nyuma (weight distribution) huwa una athiri sana handling ya gari. Hasa kwenye barabara zenye kona kona.

Weight distribution ya models nyingi za BMW ni 50:50. Ndio maana kwenye handling ni kiboko. Ukiendesha unajikuta unatabasamu tu.
 
Aisee uzito wa battery ndio ulete weight distribution..!!!? Battery ya gari hardly kufika 30kgs..engine oil + coolant + maji ya wiper almost na uzito wa battery.. Bado kuna engine yenyewe nzito mbele..!

Weight distribution ni kwenye gari zinatotumia umeme.. Battery zake nzito kweli kweli.. Ila sio hizi za BinSlum..!
 
Wataalamu wa magari wanadai kuwa Volkswagen ndiyo kampuni inayoaminika ujerumani ni kama vile Toyota Kwa Japan. Pia Volkswagen ina technology ya Hali juu Sana kwenye gear box na engine hata Mimi nakubaliana na Hili baada ya kuangalia video kwenye YouTube Kati ya DSG TRANSMISSION (VOLKSWAGEN) Vs SUPER TRONIC(BMW).
 
Mkuu, hii kitu mbona ni Physics ya shule ya msingi kabisa. Au umesahau mambo Nyenzo Daraja la Kwanza? Hiyo less than 30kg unayoichukulia poa ina impact kubwa sana.
 
Mkuu, hii kitu mbona ni Physics ya shule ya msingi kabisa. Au umesahau mambo Nyenzo Daraja la Kwanza? Hiyo less than 30kg unayoichukulia poa ina impact kubwa sana.
Aisee unazidi kuchanganya vitu.. Hakuna gari ipo na structure hiyo.. Umepunguza support moja lazima turning itakuwa hivyo.. Ila gari ina support mbele na nyuma..
 
Mkuu, hiyo principle tu ya weight distribution. Haimaanishi gari litakuwa exactly kama hivyo.
Neno Principle ni valid kwenye condition fulani.. Ukibadilisha condition principle inakuwa invalid..
Ukiruka juu utarudi chini kwa gravity pull.. Ukienda sehemu hakuna gravity ukatumia principle ya kuruka utegemee utarudi chini ujue umeshapotea..
 
Hao ndio mainjinia wa Hitler.. Wapo kwenye game muda mrefu sana..
VW beetle ina rekodi nyingi ikiwamo watu 20 kuweza kuingia kwenye gari moja.. Na ndio ilikuwa gari ya kwanza kuuza kopi 20 M..!
 
Hao ndio mainjinia wa Hitler.. Wapo kwenye game muda mrefu sana..
VW beetle ina rekodi nyingi ikiwamo watu 20 kuweza kuingia kwenye gari moja.. Na ndio ilikuwa gari ya kwanza kuuza kopi 20 M..!
Hahahaha πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£ hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…