Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Wataalamu wa magari wanadai kuwa Volkswagen ndiyo kampuni inayoaminika ujerumani ni kama vile Toyota Kwa Japan. Pia Volkswagen ina technology ya Hali juu Sana kwenye gear box na engine hata Mimi nakubaliana na Hili baada ya kuangalia video kwenye YouTube Kati ya DSG TRANSMISSION (VOLKSWAGEN) Vs SUPER TRONIC(BMW).
Gari zote duniani Zina kasoro fulani
Bmw ni money pit.Gari zote duniani Zina kasoro fulani
Filter wapi 150K? Nanunua filter around 40K. Hata online filter za Mahle, Mann, Mayle ni around $10-12Service yake na spares mbona husemi? Yaani filter tu 150,000?