Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki.
Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe kandamizi TUKOSE WOTE!
Naamini kabisa Zito anajua fika kuwa sheria zile ni upuuzi mtupu, kwa weledi wake , AKILI ZAKE, INTELLECT YAKE anajua fika kuwa ule ni upuuzi, hawezi kuunga mkono uchafu ule toka moyoni. NI KWA MUKTADHA WA TUKOSE WOTE
Pia soma > Zitto ACT: Tumeridhishwa na marekebisho ya sheria za uchaguzi