Huyu mkongomani mnafiq sanaAnajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki.
Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe kandamizi TUKOSE WOTE!
Naamini kabisa Zito najua fika kuwa sheria zile ni upuuzi mtupu, kwa weledi wake , AKILI ZAKE, INTELLECT YAKE anajua fika kuwa ule ni upuuzi, hawezi kuunga mkono uchafu ule toka moyoni. NI KWA MUKTADHA WA TUKOSE WOTE
Uko sahihi kabisa. Jamaa chama cakle huku bara hakina mvuto kabisa na anajua hivyo. Jamaa yuko kama mchawi huyu.Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki.
Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe kandamizi TUKOSE WOTE!
Naamini kabisa Zito najua fika kuwa sheria zile ni upuuzi mtupu, kwa weledi wake , AKILI ZAKE, INTELLECT YAKE anajua fika kuwa ule ni upuuzi, hawezi kuunga mkono uchafu ule toka moyoni. NI KWA MUKTADHA WA TUKOSE WOTE
Pia soma > Zitto ACT: Tumeridhishwa na marekebisho ya sheria za uchaguzi
Siyo kama mchawi bali huyo ni mchawi kabisa. Aliwahi kujitapa kuwa mtu akimchezea anaweza kuangamiza ukoo mzima hadi panya ndani ya nyumba zao watakufa.Uko sahihi kabisa. Jamaa chama cakle huku bara hakina mvuto kabisa na anajua hivyo. Jamaa yuko kama mchawi huyu.
Dogo kazeeka kuliko uso kuliko Lukuvi.Huyu mkongomani mnafiq sanaView attachment 2953900
Bado hajaenda kuzikwa na Mama yake?Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki.
Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe kandamizi TUKOSE WOTE!
Naamini kabisa Zito anajua fika kuwa sheria zile ni upuuzi mtupu, kwa weledi wake , AKILI ZAKE, INTELLECT YAKE anajua fika kuwa ule ni upuuzi, hawezi kuunga mkono uchafu ule toka moyoni. NI KWA MUKTADHA WA TUKOSE WOTE
Pia soma > Zitto ACT: Tumeridhishwa na marekebisho ya sheria za uchaguzi
Zamani alikuwa anajifichaficha ila sasa hivi kaamua kujianika zaidiAnajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki.
Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe kandamizi TUKOSE WOTE!
Naamini kabisa Zito anajua fika kuwa sheria zile ni upuuzi mtupu, kwa weledi wake , AKILI ZAKE, INTELLECT YAKE anajua fika kuwa ule ni upuuzi, hawezi kuunga mkono uchafu ule toka moyoni. NI KWA MUKTADHA WA TUKOSE WOTE
Pia soma > Zitto ACT: Tumeridhishwa na marekebisho ya sheria za uchaguzi
Huyu ni kaka yake au ni yeye ?Huyu mkongomani mnafiq sanaView attachment 2953900
Zitto anateswa na udalali na udiniAnajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki.
Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe kandamizi TUKOSE WOTE!
Naamini kabisa Zito anajua fika kuwa sheria zile ni upuuzi mtupu, kwa weledi wake , AKILI ZAKE, INTELLECT YAKE anajua fika kuwa ule ni upuuzi, hawezi kuunga mkono uchafu ule toka moyoni. NI KWA MUKTADHA WA TUKOSE WOTE
Pia soma > Zitto ACT: Tumeridhishwa na marekebisho ya sheria za uchaguzi
Kwani yeye ataishi mileleSiyo kama mchawi bali huyo ni mchawi kabisa. Aliwahi kujitapa kuwa mtu akimchezea anaweza kuangamiza ukoo mzima hadi panya ndani ya nyumba zao watakufa.
Ni yeyeHuyu ni kaka yake au ni yeye ?
People to be careful with in Tanzania politicsAnajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki.
Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe kandamizi TUKOSE WOTE!
Naamini kabisa Zito anajua fika kuwa sheria zile ni upuuzi mtupu, kwa weledi wake , AKILI ZAKE, INTELLECT YAKE anajua fika kuwa ule ni upuuzi, hawezi kuunga mkono uchafu ule toka moyoni. NI KWA MUKTADHA WA TUKOSE WOTE
Pia soma > Zitto ACT: Tumeridhishwa na marekebisho ya sheria za uchaguzi
Zitto walimuamini wenzake kwenye uchaguzi wa 2020 wakaitisha maandamano usiku akawachoma wenzake wakaanza kuokotwa kama kumbikumbi na polisi.Nilimsoma jana somewhere anasema wapinzani wa Tanzania nao waaminiane kama wale wa Senegal, ili kuitoa madarakani CCM.
Hizi siasa zetu hasa za upinzani wa aina ya kina Zitto ziko complicated sana.
Zito anajulikana kuwa ni mamluki wa MagogoniAnajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki.
Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe kandamizi TUKOSE WOTE!
Naamini kabisa Zito anajua fika kuwa sheria zile ni upuuzi mtupu, kwa weledi wake , AKILI ZAKE, INTELLECT YAKE anajua fika kuwa ule ni upuuzi, hawezi kuunga mkono uchafu ule toka moyoni. NI KWA MUKTADHA WA TUKOSE WOTE
Pia soma > Zitto ACT: Tumeridhishwa na marekebisho ya sheria za uchaguzi
He is immortalKwani yeye ataishi milele
Ndiyo hivyoHe is immortal