Akili za Chifu Mangungo wa Msovero

Akili za Chifu Mangungo wa Msovero

Kitu gani unaibiwa na makaburu boss?
Nyaraka za Pandora
zinaonyesha utajiri uliofichwa, ukwepaji wa kodi na, wakati mwingine, utakatishaji fedha unaofanywa na baadhi ya matajiri na wenye nguvu duniani-na makaburu!
Kwa lugha nyingine ni sawa na "kutuibia?"
 
Kati ya vitu alinisikitisha sana ni pamoja na hiki cha kuungana na mabeberu wanaoliibia Taifa letu!
Sina imani kabisa na uzalendo wake kwa nchi yetu.
Kwani report ya CAG inasemaje?
Wanaoliibia taifa hili ni mabeberu?
Au ni watanzania wenzetu?
 
Ni.... hakuna imani itakayotolewa kwa mtu yeyote yule atakaeungana na beberu katika jitihafa zao za kuangamiza Tanzania na Afrika kwa Ujumla.

Mabeberu wanahusika moja kwa moja na wizi huu, kwani wao ndio watoa rushwa wakubwa.
 
Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu Mangungo kuwekwa kwenye historia ya nchi yetu.

Watoto wetu wanapaswa kufundishwa habari za kina Chifu Mkwawa wa Iringa, Chifu Mirambo wa Tabora, Chifu Isike n.k.

Hiyo itawafanya na wao kuwa na moyo wa uzalendo kama ya hao mashujaa niliowataja hapo juu.

Huenda labda kwa kufanya hivyo tukafanikiwa kuwa na viongozi wazalendo watakaolivusha Taifa letu, kututoa tulipo, na kutupeleka sehemu nzuri zaidi.

Naomba kuwasilisha.
Kiongozi tiririka tujue aliboronga nini huko maana hataa ukoo wake wameacha kutumia jina hilo kuhofia aibu
 
Kiongozi tiririka tujue aliboronga nini huko maana hataa ukoo wake wameacha kutumia jina hilo kuhofia aibu
Hata mimi ningekuwa Mjukuu wake au ningekuwa wa kutoka ukoo wake nisingekubali kutumia ilo jina!
Just imagine, unauza nchi na watu wako kwa vioo, nguo na vyombo vya kupikia?!
So sad!
 
Ni.... hakuna imani itakayotolewa kwa mtu yeyote yule atakaeungana na beberu katika jitihafa zao za kuangamiza Tanzania na Afrika kwa Ujumla.

Mabeberu wanahusika moja kwa moja na wizi huu, kwani wao ndio watoa rushwa wakubwa.
Kweli kabisa Mkuu, huo ndo ukweli
 
Kwani report ya CAG inasemaje?
Wanaoliibia taifa hili ni mabeberu?
Au ni watanzania wenzetu?
Wanachokiiba hao Watanzania wenzetu, ni kidogo sana kulinganisha na kinachoibwa na mabeberu. Japo mwizi ni mwizi tu awe wa ndani au wa nje
 
Nyaraka za Pandora
zinaonyesha utajiri uliofichwa, ukwepaji wa kodi na, wakati mwingine, utakatishaji fedha unaofanywa na baadhi ya matajiri na wenye nguvu duniani-na makaburu!
Kwa lugha nyingine ni sawa na "kutuibia?"
Hizo fedha zinazofichwa na viongozi wetu, ndo huwa zinarudi kwa jina jingine la mikopo ya masharti nafuu!
Yaani dunia hii, ndo maana wanasema bora unyimwe mali, upewe akili!
 
Bora chief mangungo kuliko viongizi wa sasa.magungo yeye hakuwa msomi lakini viongozi wa sasa wamepata elimu lakini mambo wanayofanya ya hovyo ni zaidi ya mangungo
 
Bora chief mangungo kuliko viongizi wa sasa.magungo yeye hakuwa msomi lakini viongozi wa sasa wamepata elimu lakini mambo wanayofanya ya hovyo ni zaidi ya mangungo
Kweli Mkuu, wanataka kuhakikisha kwamba mpaka wanatoka madarakani, basi wawe wameshabinafsisha rasilimali zote!
 
Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu Mangungo kuwekwa kwenye historia ya nchi yetu.

Watoto wetu wanapaswa kufundishwa habari za kina Chifu Mkwawa wa Iringa, Chifu Mirambo wa Tabora, Chifu Isike n.k.

Hiyo itawafanya na wao kuwa na moyo wa uzalendo kama ya hao mashujaa niliowataja hapo juu.

Huenda labda kwa kufanya hivyo tukafanikiwa kuwa na viongozi wazalendo watakaolivusha Taifa letu, kututoa tulipo, na kutupeleka sehemu nzuri zaidi.

Naomba kuwasilisha.
Vitabu vinamwandika Dr. Carl Peters. Maana yake miaka hiyo ya 1800s yeye alikuwa ni PhD holder!! Jiulize je, kulikuwa na mtanganyika aliyekuwa na elimu ya chekechea kipindi hicho? Achana na chief wetu, jiulize wewe ukifa Kuna mtu yeyote nje ya familia yako atalikimbuka jina lako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu wameweka mizizi yao hadi chumbani mwa nchi(kuna agent wa wabeberu) .so ukienda tofauti nao huwezi kusurvive yu wapi? Gadaffi,JPM na wengine wengi walioenda tofauti na mabeberu.nchi yulipata mwamba JPM tukamtukana na kumkejeli kwa matusi hadi baada ya kifo chake ambaye alijitolea kutetea Taifa alidiriki kuumiza wa2 na wengine hadi kufa aliowaona wanakwamisha safari yake ya kulikomboa Taifa dhidi ya mabeberu na agent wao,bado hatukumwelewa na kumuuita muuaji.mwacheni mama wa watu atete uhai wake na kujikusanyia chake muda wake uishe ale maisha na familia yake(kama mulichomfanyia mtangulizi wake amejionea mwenyewe ivi hata ungekuwa wewe ungapata wapi? Moyo wa kuwatetea na kurisk maisha yako)
 
Bora kutokumbukwa kabisa kuliko kukumbukwa kwa mambo mabaya
 
Ni kweli Mkuu, wakati mwingine sisi pia tunachangia kuwakatisha tamaa viongozi wazalendo.
 
Kiongozi tiririka tujue aliboronga nini huko maana hataa ukoo wake wameacha kutumia jina hilo kuhofia aibu.https://www.jamiiforums.com/
Chifu mangungo ni nani?

Naomba ninukuu kidogo kipande cha historia fupi kuhusu chifu Mangungo kutoka katika uzi wa ndugu humu Jf KILABA

"Mangungo simultaneously for all his people and Dr. Peters for alt his present and future associates hereby concluded a treaty of Eternal Friendship.

Mangungo offers all his territory with all its civil appurtenances to Dr. Karl Peters, as the representative of the Society for German Colonization, for the exclusive and universal utilization for German colonization.

Dr. Karl Peters, in the name of the Society for German Colonization declares his willingness to take over the territory of the Sultan Mangungo with all rights for German Colonization subject to any existing suzerainty of Mwenyi Sagara.

In pursuance thereof, Sultan Mangungo hereby cedes all the territory of Msovero, belonging to him by inheritance or otherwise for all time, to Dr. Karl Peters, making over to him at the same time all his rights.

Dr. Karl Peters in the name of the Society for German Colonization undertakes to give special...attention to Msovero when colonizing Usagara.

This treaty has been communicated to the Sultan Mangungo by the interpreter Ramzan in a clear manner and has been signed by both sides, with the observation of the formalities valid in Usagara the Sultan on direct enquiry having declared that he was not in anyway dependent upon the Sultan of Zanzibar, and that he did not even know the existence of the latter.

Sgd. Dr. KARL PETERS
Sgd. MANGUNGO

This contract has been executed legally and made valid for all time before a great number of witnesses, we testify herewith:
Kwagakinga (mark);
Sultan Mangungo’s son of Golola (mark);
Sultan Mangungo’s second son of Draman (mark);
Graf Pfeil August Otto;
Mark of the intepreter Ramazan etc.
Dr. Karl Juhlke.
Msovero Usagara November 29, 1884.

Kwa tafsiri isiyo rasmi, kwa Kiswahili unasomeka hivi:
Mangungo, Sultan wa Msovero katika Mwenyisagara, na Dk. Karl Peters. Mangungo sambamba na watu wake wote na Dk. Peters kwa niaba yake na washirika wake wengine wajao kwa pamoja wanaweka mkataba wa Urafiki wa Kudumu.

Mangungo amekubali kutoa himaya yake yote pamoja na watu wake na hadhi yake kwa Dk. Karl Peters, kama mwakilishi wa Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani (Society for German Colonization), kwa ajili ya matumizi ya moja kwa moja ya koloni la Kijerumani.

Dk. Karl Peters, kwa niaba ya jina la Umoja wa Ukoloni wa Ujermani anatangaza dhamira yake ya kuitwaa himaya yote ya Sultan Mangungo na haki zote kwa ajili ya Koloni la Ujerumani inayohusisha kila kona na amali za Mwenyi Sagara.

Katika kutekeleza hilo, Sultan Mangungo anakabidhi himaya yote ya Msovero, inayomilikiwa na yeye mwenyewe kwa urithi au kwa namna yoyote ile kwa nyakati zote, kwa Dk. Karl Peters, na wakati huo huo kumkabidhi haki zake zote.

Dk. Karl Peters kwa niaba ya Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani anakusudia kuweka mkazo maalum kwa eneo la Msovero wakati wa kuitawala Usagara.

Mkataba huu umewasilishwa kwa Sultan Mangungo na mkalimani Ramzan katika dhana ya wazi kabisa na umesainiwa na pande zote, kwa kuzingatia taratibu zilizopo katika Usagara, Sultan baada ya kuhojiwa moja kwa moja alikiri kwamba hakuwa na ushirika ama kutegemea kwa namna yoyote Sultan wa Zanzibar, na kwamba hakuwa hata akimfahamu.

Imesainiwa. Dk. KARL PETERS
Imesainiwa. MANGUNGO

Mkataba huu umefanyika kihalali kabisa na umehuishwa kwa nyakati zote mbele za mashahidi wengi, ambao tunakiri hapa:
Kwagakinga (dole gumba);
Golola mtoto wa Sultan Mangungo (dole gumba);
Draman mtoto wa pili wa Sultan Mangungo (dole gumba);
Graf Pfeil August Otto.
Dole gumba la mkalimani Ramazan etc.
Dk. Karl Juhlke.
Msovero Usagara Novemba 29, 1884.
 
Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu.
au ndiyo maana msemo wa "Fundi mangungo...." ndiyo ulianziaga hapo?
 
Hii nadhani ni Fikra Potofu kwa sisi Waafrika - Swali ni kwamba kwanini mikataba ya mjerumani na utamaduni wao uwe binding kwa Muafrika aliyepo huku kijijini....

Mbili unadhani Chief angekataa wangemwambia nini kwamba basi hatukufanyi kitu chukua ardhi yako au wangempiga kichapo na kuchukua cha kuchukua ?

In short mikataba hiyo ilikuwa kwa manufaa ya hao wanyonyaji / maharamia yaani mjerumani akiwa na ile karatasi ili aseme kwamba ni yetu na sio ya Muingereza wala muarabu (uliza maharamia wengine makaburu wa Afrika Kusini walifanywa nini na Muingereza wakati wanagombani Ardhi ya wenyeji wa pale)
 
Kitu gani unaibiwa na makaburu boss? Nchi hii wakoloni wameondoka miaka 60 iliyopita, hawa wote waliopa hapa nchini mnawaita wawekezaji na wana mikataba halali. Unaweza kutoonyesha mkataba hata mmoja wa raslimali za nchi hii amesaini Lisu?
Labda tumuulize huyu Mwamba hapa!
 
Attachments

  • Rais_Magufuli_kuhusu_Ufisadi_na_Tanzania_kuwa_Shamba_la_Bibi_|Mar_20,_2016_|(144p).mp4
    1.3 MB
Back
Top Bottom