Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza Ahsanteni viongozi wa kitaifa kwa muongozo nadhani itakua ngumu mno kwa watu kuuliza chakula chochote msibani.
Sasa aje mtu aulize chakula msibani aone
Mkuu kulisha watu wote wale huoni lingekuwa zoezi lingine na lingekula muda sana na siajabu mpaka saa tatu usiku msiba ungekuwa bado unaendelea.Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza Ahsanteni viongozi wa kitaifa kwa muongozo nadhani itakua ngumu mno kwa watu kuuliza chakula chochote msibani.
Sasa aje mtu aulize chakula msibani aone
Ukiona maswali ya aina hii utambue sio kila aendae kwenye msiba ana uchungu na tukio.....!! Tumbo baya sana !!!Mkuu kulisha watu wotw wale huoni lingekuwa zoezi lingine na lingekuka muda sana na siajabu mpaka saa tatu usiku msiba ungekuwa bado unaendelea.
Huo ndo msiba wa hayati... Wa marehemu sasa......[emoji847][emoji847][emoji847]Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza Ahsanteni viongozi wa kitaifa kwa muongozo nadhani itakua ngumu mno kwa watu kuuliza chakula chochote msibani.
Sasa aje mtu aulize chakula msibani aone
Ngoja na mm nipambane baada ya kutwaliwa na SIR GOD niitwe hayatNi moja wapo ya tofauti ya Hayati na Marehemu