Zegota
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 341
- 719
Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza.
Ahsanteni viongozi wa kitaifa kwa muongozo nadhani itakua ngumu mno kwa watu kuuliza chakula chochote msibani.
Sasa aje mtu aulize chakula msibani aone