Akili za mjinga: kwenye huu msiba wa taifa sijaona watu wakipewa msosi na hamna complain, huku kwetu swahili bila menu msiba unabaki peke yako

Zegota

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2020
Posts
341
Reaction score
719
Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza.

Ahsanteni viongozi wa kitaifa kwa muongozo nadhani itakua ngumu mno kwa watu kuuliza chakula chochote msibani.

Sasa aje mtu aulize chakula msibani aone
 
Kwa ratiba ilivyokuwa ngumu kula ila naamini kule walipotangulia walikula kule si bure na waliokuwa wamebaki lazima walikula serikali haiwezi kuacha hivihivi tu..
 
Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza Ahsanteni viongozi wa kitaifa kwa muongozo nadhani itakua ngumu mno kwa watu kuuliza chakula chochote msibani.

Sasa aje mtu aulize chakula msibani aone

Mkuu, ungechoropoka ukale hotelini 😁
 
Mkuu kulisha watu wote wale huoni lingekuwa zoezi lingine na lingekula muda sana na siajabu mpaka saa tatu usiku msiba ungekuwa bado unaendelea.
 
Mkuu kulisha watu wotw wale huoni lingekuwa zoezi lingine na lingekuka muda sana na siajabu mpaka saa tatu usiku msiba ungekuwa bado unaendelea.
Ukiona maswali ya aina hii utambue sio kila aendae kwenye msiba ana uchungu na tukio.....!! Tumbo baya sana !!!
 
Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza Ahsanteni viongozi wa kitaifa kwa muongozo nadhani itakua ngumu mno kwa watu kuuliza chakula chochote msibani.

Sasa aje mtu aulize chakula msibani aone
Huo ndo msiba wa hayati... Wa marehemu sasa......[emoji847][emoji847][emoji847]
 
Hata ungekwepo wangekula tu wananchi wa kawaida labda na wasanii, watu waogopa thumu shekhe, navile msaidizi hajapatikana watu wa nyumba ile kila mmoja yuko makini balaa
 
Mkuu uko sahihi, hii tabia ya kulisha watu misibani ife kabisa, na hakuna aliyelalamika. Watu wasiende misibani kula, waende kuomboleza na kurudi mwakao full stop, sio mnatia wafiwa presha za kuwapikia, sijui watu watakula nini, wanamajonzi ya kufiwa ndugu yao halafu tena wawawazie na nyie waombolezaji mtakula nini?
 
waweke chakula?

wapinzani waseme watu walifata chakula
 
Back
Top Bottom