Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Sep 2, 2023 #41 Ila sisi wakristo tuna mambo ya kijinga sana wa kuendekeza huo upuuzi, mabwege wengine mpaka wanaenda kukopa benki
Ila sisi wakristo tuna mambo ya kijinga sana wa kuendekeza huo upuuzi, mabwege wengine mpaka wanaenda kukopa benki
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Sep 2, 2023 #42 Utasikia "tulikula na kunywa na kusaza " hiyo ndio sifa ya mtu mweusi.
D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 862 Reaction score 871 Sep 2, 2023 #43 Asante sana?