pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Jombaa, huoni aibu kwamba hiyo hiyo bajeti ya kilimo Kenya $500M ni sawa na bajeti ya elimu nchini Tanzania? Sasa hela kama hizo mtazitumia kufanya nini cha maana, kufunza ng'ombe? Au unajivunia kwamba sekta yenu ya elimu itachomoa mavichwa boga kwa wingi? [emoji1] Levels jombaa, levels. Tanzania: How Education Ministry Plans to Expend Sh1.3tr in 2020/2021