Akili za umasikini: Bajeti ya Elimu $5B, lakini bajeti ya Kilimo in $500M

You gat Jokes!! But here goes ....tayari nilijua majukumu ya serikali na kwa maoni yangu mgao huo uko sawa. Sasa leta bajeti ya TZ ya Kilimo.
Hivi ninyi wakenyanajisikiaje mkiwa mnatumia kiingereza wakati Kiswahili mnakijua vizuri?. Unajisikiaje pale ambapo mtoto wako uliyemzaa anamsifia baba wa rafiki yake wakati wewe upo hapohapo, mkeo anamsifia mume wa rafiki yake mkiwa chumbani pamoja?
 
We are proud of being multilingual. We can speak both languages.

Wacha kupotelea thread. Tanzania agricaltural budget ni $98mil , education budget ni$565 ...tofauti na kenya iko wapi .
Kenya agri=$500mil
Education:$5bil

Clearly the Tanzanian government also values education juslt like the Kenyan government.
 
Ninahisi hilo ndio lilisaidia kuangukia pua, sasa hivi ameungana na "Hapa kazi Tu"
Kazi gani? SGRa ilikuwa ifunguliwe November mwaka Jana,kibaha,bagamayo,makinikia, mafao, koroshow, Covid-19 na kadhalika. Vipo wapi?
 
Kenya mnahitaji wasomi lakini hamuhitaji uhai watu wenu, vipi mnakubali kuona mamia ya raia wenu wanakufa kwa njaa kila mwaka lakini bado hamuwasaidii badala yake mnaongeza idadi ya wasomi wa vyuo vikuu wanaozurura na kukaa mchana kutwa pale Uhuru park.

Lazima idadi ya wasomi iendane na " Job creation ", bila kilimo na ufugaji" wapi mtatengeneza ajira za kuweza kuwaajiri hao wasomi mnaowazalisha kwa wingi?
Wangapi wamekufa kwa njaa this year?
 
So wait ...they did the same as Kenya and gave education more money (although madafu currency money[emoji23][emoji23])but somehow Kenya is the stupid one .

As I said , Tanzanians are a bunch of dickhead know-it-alls with an IQ of a jellyfish.

The guy was probably shocked by how much money we gave to Education.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
😂😂😂
download (2).jpg
 
Hivi ninyi wakenyanajisikiaje mkiwa mnatumia kiingereza wakati Kiswahili mnakijua vizuri?. Unajisikiaje pale ambapo mtoto wako uliyemzaa anamsifia baba wa rafiki yake wakati wewe upo hapohapo, mkeo anamsifia mume wa rafiki yake mkiwa chumbani pamoja?
Leta budget ya Tanzania you fool.
 
Hivi ninyi wakenyanajisikiaje mkiwa mnatumia kiingereza wakati Kiswahili mnakijua vizuri?. Unajisikiaje pale ambapo mtoto wako uliyemzaa anamsifia baba wa rafiki yake wakati wewe upo hapohapo, mkeo anamsifia mume wa rafiki yake mkiwa chumbani pamoja?
I am more fluent in my mother tongue than swahili. Swahili ranks fifth in order of preferred languages and is only useful to me hapa jamii forums 😉!!! Otherwise haina kazi ingine.

1. Dads mother tongue
2. Mum's mother tongue
3. English
4. Sheng
5. Swahili
 
We are proud of being multilingual. We can speak both languages.

Wacha kupotelea thread. Tanzania agricaltural budget ni $98mil , education budget ni$565 ...tofauti na kenya iko wapi .
Kenya agri=$500mil
Education:$5bil

Clearly the Tanzanian government also values education juslt like the Kenyan government.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
This Joto La Jiwe guy is very theoretical...no facts no substance just pure theories from his head.
 
Wakenya ni wapigaji sana hapo wameona kwenye elimu ndio rahisi kupiga mapesa ya wajinga nyinyi
 
This Joto La Jiwe guy is very theoretical...no facts no substance just pure theories from his head.
Siwajibu swali lenu kwasababu ninyi ni wajinga sana hamna akili, ndio sababu Magufuli anawaendesha marais wote hapa East Africa, kwasababu yeye anatumia akili sana kabla ya kufikia maamuzi yake.

Mimi nimelinganisha na kuuliza kati ya Elimu na Kilimo inakuaje Elimu ipewe bajeti kubwa zaidi ya Mara tano ya ile ya Kilimo katika nchi ambayo uchumi wake unategemea KILIMO.

Mimi sijasema bajeti ya Kilimo ni ndogo, Kama bajeti ya Kilimo ingekua $300M na education ikawa $250M kamwe nisingesema wala kuuliza.

Jambo linalonikwaza ni kuona kwamba Kilimo ambacho hutoa ajira kwa wananchi 75%, nchi ambayo watu wake wanakufa njaa, nchi ambayo kila mwaka lazima ipewe msaada wa Chakula, nchi ambayo 47% ya watu wake hutegemea "food donations", lakini katika kupanga bajeti, inatoa kipaumbele katika Elimu Mara tano zaidi ya KILIMO.

Mimi ninauliza kuhusu " priorities " ya nchi ya Kenya kati ya Elimu na Kilimo. Hivi ninyi mnaakili kweli?. Wapuuzi wakubwa ninyi. Siwezi kujibishana na watu wajinga kama ninyi. Hovyo kabisa ninyi, badala ya kujibu hoja, mnaleta ujinga wenu hapa.
 
Sasa why don't you give this advice to your Government first .
Mbona wanapea only 98mill to agriculture. At least we are giving 500mill.How is 98mill even enough for such a big country.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Bro this is an investment. Where is your 2020/21 budget?

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Hata Galana Kulalu ni investment lakini inewashinda. Serikali ya Tanzania ineshajenga irrigation system nchi nzima zenye ukubwa WA hectares laki 7 hadi sasa na zinazalisha Chakula hicho tunachowaletea
 
Back
Top Bottom