Gwizzy
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 629
- 854
You gat Jokes!! But here goes ....tayari nilijua majukumu ya serikali na kwa maoni yangu mgao huo uko sawa. Sasa leta bajeti ya TZ ya Kilimo.Mimi sijui English vizuri, tumia Kishwahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You gat Jokes!! But here goes ....tayari nilijua majukumu ya serikali na kwa maoni yangu mgao huo uko sawa. Sasa leta bajeti ya TZ ya Kilimo.Mimi sijui English vizuri, tumia Kishwahili
Hivi ninyi wakenyanajisikiaje mkiwa mnatumia kiingereza wakati Kiswahili mnakijua vizuri?. Unajisikiaje pale ambapo mtoto wako uliyemzaa anamsifia baba wa rafiki yake wakati wewe upo hapohapo, mkeo anamsifia mume wa rafiki yake mkiwa chumbani pamoja?You gat Jokes!! But here goes ....tayari nilijua majukumu ya serikali na kwa maoni yangu mgao huo uko sawa. Sasa leta bajeti ya TZ ya Kilimo.
We are proud of being multilingual. We can speak both languages.Hivi ninyi wakenyanajisikiaje mkiwa mnatumia kiingereza wakati Kiswahili mnakijua vizuri?. Unajisikiaje pale ambapo mtoto wako uliyemzaa anamsifia baba wa rafiki yake wakati wewe upo hapohapo, mkeo anamsifia mume wa rafiki yake mkiwa chumbani pamoja?
Kazi gani? SGRa ilikuwa ifunguliwe November mwaka Jana,kibaha,bagamayo,makinikia, mafao, koroshow, Covid-19 na kadhalika. Vipo wapi?Ninahisi hilo ndio lilisaidia kuangukia pua, sasa hivi ameungana na "Hapa kazi Tu"
Wangapi wamekufa kwa njaa this year?Kenya mnahitaji wasomi lakini hamuhitaji uhai watu wenu, vipi mnakubali kuona mamia ya raia wenu wanakufa kwa njaa kila mwaka lakini bado hamuwasaidii badala yake mnaongeza idadi ya wasomi wa vyuo vikuu wanaozurura na kukaa mchana kutwa pale Uhuru park.
Lazima idadi ya wasomi iendane na " Job creation ", bila kilimo na ufugaji" wapi mtatengeneza ajira za kuweza kuwaajiri hao wasomi mnaowazalisha kwa wingi?
Huyo jamaa ni class five drop out achana nayeWakati huku mukiongoza katika multidimensional poverty ea..
55% yani..halafu eti na wewe unatoa lecture[emoji23][emoji23]
😂 😂 😂 😂😂 😂 naomba Tanzania muongeze bajeti ya elimu ili watu kama joto la jiwe wasiongezeke nchini
😂😂😂So wait ...they did the same as Kenya and gave education more money (although madafu currency money[emoji23][emoji23])but somehow Kenya is the stupid one .
As I said , Tanzanians are a bunch of dickhead know-it-alls with an IQ of a jellyfish.
The guy was probably shocked by how much money we gave to Education.
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Leta budget ya Tanzania you fool.Hivi ninyi wakenyanajisikiaje mkiwa mnatumia kiingereza wakati Kiswahili mnakijua vizuri?. Unajisikiaje pale ambapo mtoto wako uliyemzaa anamsifia baba wa rafiki yake wakati wewe upo hapohapo, mkeo anamsifia mume wa rafiki yake mkiwa chumbani pamoja?
[emoji23] [emoji23] naomba Tanzania muongeze bajeti ya elimu ili watu kama joto la jiwe wasiongezeke nchini
I am more fluent in my mother tongue than swahili. Swahili ranks fifth in order of preferred languages and is only useful to me hapa jamii forums 😉!!! Otherwise haina kazi ingine.Hivi ninyi wakenyanajisikiaje mkiwa mnatumia kiingereza wakati Kiswahili mnakijua vizuri?. Unajisikiaje pale ambapo mtoto wako uliyemzaa anamsifia baba wa rafiki yake wakati wewe upo hapohapo, mkeo anamsifia mume wa rafiki yake mkiwa chumbani pamoja?
This Joto La Jiwe guy is very theoretical...no facts no substance just pure theories from his head.We are proud of being multilingual. We can speak both languages.
Wacha kupotelea thread. Tanzania agricaltural budget ni $98mil , education budget ni$565 ...tofauti na kenya iko wapi .
Kenya agri=$500mil
Education:$5bil
Clearly the Tanzanian government also values education juslt like the Kenyan government.
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Siwajibu swali lenu kwasababu ninyi ni wajinga sana hamna akili, ndio sababu Magufuli anawaendesha marais wote hapa East Africa, kwasababu yeye anatumia akili sana kabla ya kufikia maamuzi yake.This Joto La Jiwe guy is very theoretical...no facts no substance just pure theories from his head.
Sasa why don't you give this advice to your Government first .Siwajibu swali lenu kwasababu ninyi ni wajinga sana hamna akili, ndio sababu Magufuli anawaendesha marais wote hapa East Africa, kwasababu yeye anatumia akili sana kabla ya kufikia maamuzi yake.
Mimi nimelinganisha na kuuliza kati ya Elimu na Kilimo inakuaje Elimu ipewe bajeti kubwa zaidi ya Mara tano ya ile ya Kilimo katika nchi ambayo uchumi wake unategemea KILIMO.
Mimi sijasema bajeti ya Kilimo ni ndogo, Kama bajeti ya Kilimo ingekua $300M na education ikawa $250M kamwe nisingesema wala kuuliza.
Jambo linalonikwaza ni kuona kwamba Kilimo ambacho hutoa ajira kwa wananchi 75%, nchi ambayo watu wake wanakufa njaa, nchi ambayo kila mwaka lazima ipewe msaada wa Chakula, nchi ambayo 47% ya watu wake hutegemea "food donations", lakini katika kupanga bajeti, inatoa kipaumbele katika Elimu Mara tano zaidi ya KILIMO.
Mimi ninauliza kuhusu " priorities " ya nchi ya Kenya kati ya Elimu na Kilimo. Hivi ninyi mnaakili kweli?. Wapuuzi wakubwa ninyi. Siwezi kujibishana na watu wajinga kama ninyi. Hovyo kabisa ninyi, badala ya kujibu hoja, mnaleta ujinga wenu hapa.
Tanzania to invest $426mln in new irrigation systemsSasa why don't you give this advice to your Government first .
Mbona wanapea only 98mill to agriculture. At least we are giving 500mill.How is 98mill even enough for such a big country.
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Bro this is an investment. Where is your 2020/21 budget?Tanzania to invest $426mln in new irrigation systems
Just irrigation only. Tutaendelea kuwalisha hadi mwisho wa dunia.
Tanzania to invest $426mln in new irrigation systemsjoto la jiwe umekimbia thread yako? [emoji23] [emoji23]
Hata Galana Kulalu ni investment lakini inewashinda. Serikali ya Tanzania ineshajenga irrigation system nchi nzima zenye ukubwa WA hectares laki 7 hadi sasa na zinazalisha Chakula hicho tunachowaleteaBro this is an investment. Where is your 2020/21 budget?
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app