pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Almost sixty years after independence?, Hahaha. Mtaendelea kufa kwa njaa huku mkiendelea kuzalisha jobless graduates.kenya tunajenga a knowledge based economy whereby such an economy, technology, knowledge and skills play a more profound role in economic growth and competitiveness than other factors of production such as labour, capital, and natural resources, good example ni nchi kama taiwan, dira yetu ya vision 2030 ipo very clear na direction yetuu[emoji1360]
Knowledge Management Key to Successful Implementation of Vision 2030 Initiative | Kenya Vision 2030
Ninahisi hilo ndio lilisaidia kuangukia pua, sasa hivi ameungana na "Hapa kazi Tu"Mh. Lowassa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 alikuwa ana kauli mbiu yake ilikuwa inasema kwamba kipaumbele chake cha kwanza ni ELIMU cha pili ni ELIMU, cha tatu ni ELIMU na cha nne ni ELIMU!
Jibuni hoja zake, mumeanza kumuogopa?Saa zingine ni vizuri kukubali umeshindwa kwenye hoja (zako)
Yaani jamaa haoni aibu ..I wonder how much Tanzania is giving to agriculture ? Can anyone check .Kama elimu niJombaa, huoni aibu kwamba hiyo hiyo bajeti ya kilimo Kenya $500M ni sawa na bajeti ya elimu nchini Tanzania? Sasa hela kama hizo mtazitumia kufanya nini cha maana, kufunza ng'ombe? Au unajivunia kwamba sekta yenu ya elimu itachomoa mavichwa boga kwa wingi? [emoji1] Levels jombaa, levels. Tanzania: How Education Ministry Plans to Expend Sh1.3tr in 2020/2021
Kenya tunahitaji wasomi. (Highly skilled workers)
Vitunguu, mboga na hoho tutanunua Tanzania.
Leo wamekufa mia ngapiKenya mnahitaji wasomi lakini hamuhitaji uhai watu wenu, vipi mnakubali kuona mamia ya raia wenu wanakufa kwa njaa kila mwaka lakini bado hamuwasaidii badala yake mnaongeza idadi ya wasomi wa vyuo vikuu wanaozurura na kukaa mchana kutwa pale Uhuru park.
Lazima idadi ya wasomi iendane na " Job creation ", bila kilimo na ufugaji" wapi mtatengeneza ajira za kuweza kuwaajiri hao wasomi mnaowazalisha kwa wingi?
Si unajua tena akili za wakulima huaga haziendi mbali..Jombaa, huoni aibu kwamba hiyo hiyo bajeti ya kilimo Kenya $500M ni sawa na bajeti ya elimu nchini Tanzania? Sasa hela kama hizo mtazitumia kufanya nini cha maana, kufunza ng'ombe? Au unajivunia kwamba sekta yenu ya elimu itachomoa mavichwa boga kwa wingi? [emoji1] Levels jombaa, levels. Tanzania: How Education Ministry Plans to Expend Sh1.3tr in 2020/2021
Wakati huku mukiongoza katika multidimensional poverty ea..Almost sixty years after independence?, Hahaha. Mtaendelea kufa kwa njaa huku mkiendelea kuzalisha jobless graduates.
It took Taiwan and Singapore less than 30years to achieve their economic transformation. You need to balance between training skilled people and job Creation so that you can put on use and those graduate, otherwise you will create more jobless thieves graduates.
So wait ...they did the same as Kenya and gave education more money (although madafu currency money[emoji23][emoji23])but somehow Kenya is the stupid one .eddy25r bajeti ya Tz ya kilimo ni $98M. Hawa majirani zetu ni vibwengo kwenye kila sekta, kazi ni porojo tu, hawatoshi mboga. https://globalpublishers.co.tz/bunge-lapitisha-bilioni-229-bajeti-ya-kilimo-2020-21/
Soma post #3 hapo juu ufahamu majukumu ya Serikali katika sector ya Kilimo, wewe unadhani KILIMO ni kununua mahindi toka Mexico. Kumbuka Agriculture ndio yenye kutoa ajira kwa 75% ya wakenya, soma post #3 utapata ElimuAgriculture in Kenya is largely a private sector affair... education on the other hand is largely public sector. The allocation makes perfect sense. Why allocate money to grow maize and beans??? In anycase we can always buy maize and beans from Tanzania, Mexico, Zambia et all.
And whats TZ's Agriculture budget? ...... for perspectiveSoma post #3 hapo juu ufahamu majukumu ya Serikali katika sector ya Kilimo, wewe unadhani KILIMO ni kununua mahindi toka Mexico. Kumbuka Agriculture ndio yenye kutoa ajira kwa 75% ya wakenya, soma post #3 utapata Elimu
Kwanza umeshasoma na kuelewa majukumu ya Serikali katika Kilimo?And whats TZ's Agriculture budget? ...... for perspective
I already knew the roles of government and i'm happy with the allocation. Sasa leta TZ's Agriculture budget or the data is not available?Kwanza umeshasoma na kuelewa majukumu ya Serikali katika Kilimo?
Mimi sijui English vizuri, tumia KishwahiliI already knew the roles of government and i'm happy with the allocation. Sasa leta TZ's Agriculture budget or the data is not available?