Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Kuna Mmoja ambaye ni Mwanamke akitokea Chama Cha Mapinduzi kaulizwa na Waandishi wa Habari ni kwanini nae kaamua Kujitosa katika Watu 31 waliochukua Fomu jibu alilolitoa ni kwamba Kajitokeza tu kwakuwa kaona hakuna Uwiano wa Kijinsia. Mwingine nae kutokea Chama cha AFP Yeye kahojiwa kasema anataka kuwa Rais wa Zanzibar ili awanunulie Bajaji Waandishi wa Habari wote huko.
Mzukulu nauliza kwahiyo kumbe Wazanzibari wanataka Mwanamke awe juu ya Wanaume na Bajaji zimilikiwe tu na Waandishi wa Habari pekee?
Mzukulu nauliza kwahiyo kumbe Wazanzibari wanataka Mwanamke awe juu ya Wanaume na Bajaji zimilikiwe tu na Waandishi wa Habari pekee?