Zanzibar 2020 Akili za Wachukua Fomu Kuwania Urais Kisiwani Zanzibar kutokea Vyama vyao mbalimbali wanazijua Wenyewe!

Zanzibar 2020 Akili za Wachukua Fomu Kuwania Urais Kisiwani Zanzibar kutokea Vyama vyao mbalimbali wanazijua Wenyewe!

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Kuna Mmoja ambaye ni Mwanamke akitokea Chama Cha Mapinduzi kaulizwa na Waandishi wa Habari ni kwanini nae kaamua Kujitosa katika Watu 31 waliochukua Fomu jibu alilolitoa ni kwamba Kajitokeza tu kwakuwa kaona hakuna Uwiano wa Kijinsia. Mwingine nae kutokea Chama cha AFP Yeye kahojiwa kasema anataka kuwa Rais wa Zanzibar ili awanunulie Bajaji Waandishi wa Habari wote huko.

Mzukulu nauliza kwahiyo kumbe Wazanzibari wanataka Mwanamke awe juu ya Wanaume na Bajaji zimilikiwe tu na Waandishi wa Habari pekee?
 
Duh! Kama ni hivyo tu na mie natangaza nia, ooh maskini kumbe mie hapa ni Mtanz-bara.
 
Wogombea wengi wa urais zanzibar kwa tiketi ya ccm naona wanafanya mzaha sana na sijui hata kama wanajua majukumu wanayotaka kubebeshwa. Mtu aistoria ya na elimu ndogo, hana historia ya kutatua lolote kwa kidiplomasia, ameshindwa kupata kura za uwakilishi katika jimbo lake huko nyuma kwa sababu watu hawaamini kama ana sifa za uongozi, hana ujuzi au elimu ya uongozi na siasa za nje, hajui lolote juu ya mahusiano ya nchi za kimataifa, historia yake katika nyadhifa alizowahi kuongoza ni failure tupu, uhodari aliokuwa nao ni kupiga domo tu haalafu anataka kuwa rais, Wengine nao wanataka uraisi kwa kutumia makoti ya baba zao. Kwa kuwa tu baba zao waliwahi kuwa maraisi basi wanafikiri na wao wanastahiki kuwa maraisi. Wanadhani zanzibar inaendeshwa kwa mfumo wa dynasty.
 
JPM ajitahidi awamu ijayo ashauri na kushawishi ifanyike kura ya maoni tuwe nchi moja tuungane na ndungu zetu.
Wao hawataki hilo, wanataka wabaki na Zanzibari yao na nyinyi mchuke Tanganyika yenu, ubakie ujirani mwema.
 
JPM ajitahidi awamu ijayo ashauri na kushawishi ifanyike kura ya maoni tuwe nchi moja tuungane na ndungu zetu.
Hehehee... Hiyo kura ya maoni itakua kama mchakato wa katiba mpya, itaamsha mashetani yaliyolala.
 
Kuna Mmoja ambaye ni Mwanamke akitokea Chama Cha Mapinduzi kaulizwa na Waandishi wa Habari ni kwanini nae kaamua Kujitosa katika Watu 31 waliochukua Fomu jibu alilolitoa ni kwamba Kajitokeza tu kwakuwa kaona hakuna Uwiano wa Kijinsia. Mwingine nae kutokea Chama cha AFP Yeye kahojiwa kasema anataka kuwa Rais wa Zanzibar ili awanunulie Bajaji Waandishi wa Habari wote huko.

Mzukulu nauliza kwahiyo kumbe Wazanzibari wanataka Mwanamke awe juu ya Wanaume na Bajaji zimilikiwe tu na Waandishi wa Habari pekee?
Akili ni nywele kila mtu ana zake. Hata Mimi nlipoona hili bandiko nikasema waweka bandiko wengine humu JF akili zao wanazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom