Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
- Thread starter
- #41
...eh nawewe umepima DNA ulidiscuss na my your wife ama ulifanya kiujannja tu? pili its easy kwa huko majuu hapa third world jamani DNA sio ya kila mtu.
[/B][/COLOR]
Hivi Mbu hadi uliamua kwenda kucheki DNA ya watoto wako hukumuamini mkeo?
Je na watoto hawajafanana na wewe kiungo chochote...........mfano pua, macho, mdomo, masikio, kichwa na vidole!!
...shishi na pretty, mambo mengine yanaitwa tahadhari kabla ya hatari, no wonder wengine hukimbilia ANGAZA kuhakikisha...
Anyway, mazingira yalonipelekea kuchunguzwa DNA kidogo ni kama yaliyompata swahiba yangu, i.e kwenye maombi ya visa.
Kuhusu hayo mambo ya kufanana ndio hayooo yasiyotakiwa siku hizi,... shauri zenu mnaokimbilia kujifananisha 'pua' na vitoto vichanga!