...akililia wembe mpe...!

...akililia wembe mpe...!

...eh nawewe umepima DNA ulidiscuss na my your wife ama ulifanya kiujannja tu? pili its easy kwa huko majuu hapa third world jamani DNA sio ya kila mtu.
[/B][/COLOR]
Hivi Mbu hadi uliamua kwenda kucheki DNA ya watoto wako hukumuamini mkeo?

Je na watoto hawajafanana na wewe kiungo chochote...........mfano pua, macho, mdomo, masikio, kichwa na vidole!!

...shishi na pretty, mambo mengine yanaitwa tahadhari kabla ya hatari, no wonder wengine hukimbilia ANGAZA kuhakikisha...
Anyway, mazingira yalonipelekea kuchunguzwa DNA kidogo ni kama yaliyompata swahiba yangu, i.e kwenye maombi ya visa.

Kuhusu hayo mambo ya kufanana ndio hayooo yasiyotakiwa siku hizi,... shauri zenu mnaokimbilia kujifananisha 'pua' na vitoto vichanga!
 
Mbu unanipaga raha sana....hivi mtu anaanzaje kukwambia tukacheki DNA ni kwamba ameshakuwa na wac sio wanae au ni kipi hasa, hawa wangu wamefanana na baba yao kivivyo then cku aniambie mambo hayo looo....au unaenda kimya?

...🙂

...bora lipi? mtu wako akwambie mkacheki UKIMWI, au DNA za watoto?

naanza kupata hisia, ukitaka kumtoa raha mkeo mwambie mkapime DNA za watoto, Lol!!!

watafumwa wengi!
 
...🙂

...bora lipi? mtu wako akwambie mkacheki UKIMWI, au DNA za watoto?

naanza kupata hisia, ukitaka kumtoa raha mkeo mwambie mkapime DNA za watoto, Lol!!!

watafumwa wengi!
mie najiamini kwamba ni wanae so cna wac kabisa, lakini mpaka afikie kuniambia hivyo nadhani atanitoa raha ki kweli kweli....nitaona kuna kitu kinaendelea cjui ni uaminifu hakuna tena, cjui kwa kweli.
 
amwache binti wa watu aji sunde ndani ya qatar akapalilie maisha yake...yeye si ali jifanya mjanja? arudi kwa mkewe na asirudie tena kosa..siku nyingine akitaka kuoa aweke wazi na akumbuke suprise za kumletea mke mkemwenza sio fun...angeweza kuua mkewe kwa presha bure.
 
Back
Top Bottom