nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
Naam katika mitaa ya jiji la Dar.
Siku zote tunawasihi vijana kuacha tamaa.
Fanyeni kazi halali.
Huyu dogo kawaliza watu wengi sana,,, machozi ya watu nuksi.
Alisoma CBE.
Kapanga bonge la jumba Kunduchi...Shughuli anazo fanya huwa hazieleweki,
Mara kadhaa anajinasibu kwamba yeye ati ana pata "tender kubwa kubwa" serikalini....
Na kweli huonyeshaga namba za simu za wakubwa kadhaa.....kazipata wapi???......
Mbali na mihadarati ni tender gani hizo kubwakubwa?? usikute na yeye huwa anatumwaga kuwadhuru watu....
Anyway inasemekana kwa sasa kajificha Upanga kwa wazee wake,,,,,,