Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Mmmh
Na hata picha siyo yenyeweYaani kiufupi mwandishi kwa wivu ulokuwa nao juu ya jamaa story umeipata kwa kusimliwa umekuja haraka bila kuwa na details za kutosha na furaha imekuponza hujui hata unachoandika
Uzi wenyewe mimi sijauelewaWabongo bhana mnachukiana kindezi sana aisee unampa kesi mtu ambayo unatamani aipate kisa kakuzidi kipato..
Kumbe una haraKwa kifupi,,,,
Ni gari ya mshkaji(kijana)....
Imekutwa na vilivyo orodheshwa...
Jamaa yupo kama kadata....
Amekimbilia kwa wazee wake Upanga,,,
Jamaa nyendo zake kwa kawaida hazieleweki,,,,,
Ni mtu wa tamaa na kupenda mambo asiyokuwa na uwezo nayo.....
Anyway ngoja niingie maliwato nitarudi
Anamsagia kunguni tu muhuni mwenzie JF si unajua watoto wengi.Uzi wenyewe mimi sijauelewa
Ova
Huwezi kuelewa tumbo linamsumbua kakimbilia maliwatoniHata sijaelewa kinacho zungumzwa hapa.
Watu Wana bahati hizi deal wenzetu wanazipata wapi?Naam katika mitaa ya jiji la Dar.
Siku zote tunawasihi vijana kuacha tamaa.
Fanyeni kazi halali.
Huyu dogo kawaliza watu wengi sana,,, machozi ya watu nuksi.
Alisoma CBE.
Kapanga bonge la jumba Kunduchi...Shughuli anazo fanya huwa hazieleweki,
Mara kadhaa anajinasibu kwamba yeye ati ana pata "tender kubwa kubwa" serikalini....
Na kweli huonyeshaga namba za simu za wakubwa kadhaa.....kazipata wapi???......
Mbali na mihadarati ni tender gani hizo kubwakubwa?? usikute na yeye huwa anatumwaga kuwadhuru watu....
Anyway inasemekana kwa sasa kajificha Upanga kwa wazee wake,,,,,,
Afu mshkaji ni member wa muda huyo huwez amin gusa avatar uone.. sijui ndio wazee washaanza kupata alzheimer 😆😆😆Huwezi kuelewa tumbo linamsumbua kakimbilia maliwatoni
Yaani kiufupi mwandishi kwa wivu ulokuwa nao juu ya jamaa story umeipata kwa kusimliwa umekuja haraka bila kuwa na details za kutosha na furaha imekuponza hujui hata unachoandika
mwandishi kwa wivu ulokuwa nao juu ya jamaaYaani kiufupi mwandishi kwa wivu ulokuwa nao juu ya jamaa story umeipata kwa kusimliwa umekuja haraka bila kuwa na details za kutosha na furaha imekuponza hujui hata unachoandika
Najitolea OFA ya kumpatia chai ya majani ya Rosemary kwa wiki 2 (14 days) nadhani atakuwa sawa.Afu mshkaji ni member wa muda huyo huwez amin gusa avatar uone.. sijui ndio wazee washaanza kupata alzheimer 😆😆😆
Most probably yes.Fake news
Yaani hapo anafurahia bora limkute viishe tufanane, kakimbia jf kumalizia furaha yake kwa kusimlia ila kaharibuNa hata picha siyo yenyewe