nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
- Thread starter
- #41
Nenda kwenye mabaa au club kubwa kubwa......lakini njia rahisi tafuta teja(mtumiaji)mfanye awe mwana...uwe unampoza poza siku moja moja then atakupa ramani nzima...au atakujuza ananunua wapi then mpange yule muuzaji.....Watu wa
Watu Wana bahati hizi deal wenzetu wanazipata wapi?
TAHADHARI
Ukisha pata mchongo ni kama kiapo cha wachawi,,,siku ukitofautiana nao.... na wewe tutakukuta kwenye buti la gari,,,halafu tutakujadili hapa.