umekutwa mwili ... na amejificha upanga ...Afya ya akili ni tatizo kubwa Tz
Umeaandika nn sasa
Umeandika hii taarifa yako wakati uko usingizini au ukiwa na haraka iliyopitiliza. Kumepambazuka tayari. Fanya urudie kuiandika upya huku ukiwa umetulia ili wasomaji waelewe.Naam katika mitaa ya jiji la Dar.
Siku zote tunawasihi vijana kuacha tamaa.
Fanyeni kazi halali.
Huyu dogo kawaliza watu wengi sana,,, machozi ya watu nuksi.
Alisoma CBE.
Kapanga bonge la jumba Kunduchi...Shughuli anazo fanya huwa hazieleweki,
Mara kadhaa anajinasibu kwamba yeye ati ana pata "tender kubwa kubwa" serikalini....
Na kweli huonyeshaga namba za simu za wakubwa kadhaa.....kazipata wapi???......
Mbali na mihadarati ni tender gani hizo kubwakubwa?? usikute na yeye huwa anatumwaga kuwadhuru watu....
Anyway inasemekana kwa sasa kajificha Upanga kwa wazee wake,,,,,,
Kwa kifupi,,,,Umeandika hii taarifa yako wakati uko usingizini au ukiwa na haraka iliyopitiliza. Kumepambazuka tayari. Fanya urudie kuiandika upya huku ukiwa umetulia ili wasomaji waelewe.
>ITAENDELEA>>>>>>>.
Gari imekutwa wapi?Kwa kifupi,,,,
Ni gari ya mshkaji(kijana)....
Imekutwa na vilivyo orodheshwa...
Jamaa yupo kama kadata....
Amekimbilia kwa wazee wake Upanga,,,
Jamaa nyendo zake kwa kawaida hazieleweki,,,,,
Ni mtu wa tamaa na kupenda mambo asiyokuwa na uwezo nayo.....
Anyway ngoja niingie maliwato nitarudi
Huyo ameshayatimba.Kwa kifupi,,,,
Ni gari ya mshkaji(kijana)....
Imekutwa na vilivyo orodheshwa...
Jamaa yupo kama kadata....
Amekimbilia kwa wazee wake Upanga,,,
Jamaa nyendo zake kwa kawaida hazieleweki,,,,,
Ni mtu wa tamaa na kupenda mambo asiyokuwa na uwezo nayo.....
Anyway ngoja niingie maliwato nitarudi
ok.🐒Naam katika mitaa ya jiji la Dar.
Siku zote tunawasihi vijana kuacha tamaa.
Fanyeni kazi halali.
Huyu dogo kawaliza watu wengi sana,,, machozi ya watu nuksi.
Alisoma CBE.
Kapanga bonge la jumba Kunduchi...Shughuli anazo fanya huwa hazieleweki,
Mara kadhaa anajinasibu kwamba yeye ati ana pata "tender kubwa kubwa" serikalini....
Na kweli huonyeshaga namba za simu za wakubwa kadhaa.....kazipata wapi???......
Mbali na mihadarati ni tender gani hizo kubwakubwa?? usikute na yeye huwa anatumwaga kuwadhuru watu....
Anyway inasemekana kwa sasa kajificha Upanga kwa wazee wake,,,,,,
Anakimbizwa na Polisi.Afya ya akili ni tatizo kubwa Tz
Umeaandika nn sasa
simu za mkopo bhanaNaam katika mitaa ya jiji la Dar.