Akimbia baada ya gari yake kukutwa na mwili na bunduki, cash 600m na mihadarati

Kumbe una hara
 
Watu wa Watu Wana bahati hizi deal wenzetu wanazipata wapi?
 
Yaani kiufupi mwandishi kwa wivu ulokuwa nao juu ya jamaa story umeipata kwa kusimliwa umekuja haraka bila kuwa na details za kutosha na furaha imekuponza hujui hata unachoandika
Yaani kiufupi mwandishi kwa wivu ulokuwa nao juu ya jamaa story umeipata kwa kusimliwa umekuja haraka bila kuwa na details za kutosha na furaha imekuponza hujui hata unachoandika
mwandishi kwa wivu ulokuwa nao juu ya jamaa
 
Hiyo maiti itambuliwe tujue ni nani?

ukifanya ubaya utalipwa ubaya na aibu juu
huyo pimbi tamaa zake zimemlipa sawa sawa na matamanio yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…