Akimbia baada ya gari yake kukutwa na mwili na bunduki, cash 600m na mihadarati

Watu wa
Watu Wana bahati hizi deal wenzetu wanazipata wapi?
Nenda kwenye mabaa au club kubwa kubwa......lakini njia rahisi tafuta teja(mtumiaji)mfanye awe mwana...uwe unampoza poza siku moja moja then atakupa ramani nzima...au atakujuza ananunua wapi then mpange yule muuzaji.....
TAHADHARI
Ukisha pata mchongo ni kama kiapo cha wachawi,,,siku ukitofautiana nao.... na wewe tutakukuta kwenye buti la gari,,,halafu tutakujadili hapa.
 
Afu mshkaji ni member wa muda huyo huwez amin gusa avatar uone.. sijui ndio wazee washaanza kupata alzheimer 😆😆😆
Nishawajuza mie huku ni kijiwe cha kupiga blah blah nothing serious.
 
Kwenye buti la gari tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…