LGE2024 Akina Baba na Akina Mama Ichagueni CCM, Hamtajuta Kuichagua CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

MBUNGE AMINA MZEE & TAUHIDA GALLOS: DODOMA MJINI ICHAGUENI CCM, HAMTAJUTA KUICHAGUA CCM

Wabunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Amina Ali Mzee na Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) wamewasihi Wananchi wote wa Wilaya ya Dodoma Mjini kuchagua viongozi wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024.

Mbunge Amina Ali Mzee na Mbunge Tauhida Gallos Nyimbo wamefanya ziara tarehe 22 Novemba, 2024 katika Kata ya Miyuji na Kata ya Chamwino huku wakiwaombea Kura kwa Wananchi Wenyeviti wa Mitaa Saba (7) wanaogombea Wilaya ya Dodoma Mjini

Akizungumza na wananchi, Tauhida Gallos Nyimbo amewatambulisha Wagombea Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wanaotokana na CCM na kusema Akina Baba na Akina Mama hawatajuta kuichagua CCM kwahiyo waichague CCM kwa kura za kutosha.

Naye, Amina Ali Mzee, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania amezidi sana kuwahamasisha Vijana nchini kote kujitokeza kupiga kura za kishindo ili Wagombea wanaotokana na CCM washinde kwa kishindo katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024.
 
Tushajuta kwa miaka 60 maana ndiyo inaendesha nchi.... Mpaka leo bado tunapigana na adui yule yule wa ujinga, maradhi, siku hizi ameongezeka na ufisadi, wasiojulikana... na wengine wengi.
 
MBUNGE AMINA MZEE & TAUHIDA GALLOS: DODOMA MJINI ICHAGUENI CCM, HAMTAJUTA KUICHAGUA CCM

Wabunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Amina Ali Mzee na Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) wamewasihi Wananchi wote wa Wilaya ya Dodoma Mjini kuchagua viongozi wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024.

Mbunge Amina Ali Mzee na Mbunge Tauhida Gallos Nyimbo wamefanya ziara tarehe 22 Novemba, 2024 katika Kata ya Miyuji na Kata ya Chamwino huku wakiwaombea Kura kwa Wananchi Wenyeviti wa Mitaa Saba (7) wanaogombea Wilaya ya Dodoma Mjini

Akizungumza na wananchi, Tauhida Gallos Nyimbo amewatambulisha Wagombea Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wanaotokana na CCM na kusema Akina Baba na Akina Mama hawatajuta kuichagua CCM kwahiyo waichague CCM kwa kura za kutosha.

Naye, Amina Ali Mzee, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Tanzania amezidi sana kuwahamasisha Vijana nchini kote kujitokeza kupiga kura za kishindo ili Wagombea wanaotokana na CCM washinde kwa kishindo katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024.
Hivyo ni vitu maalum kwa wazee wa CCM unategemea nini kutoka kwao?
 
CCM ipo madarakani kwa zaidi ya miongo sita sasa na nchi iko kwenye majuto makuu. Hicho kilevi unachotumia achana nacho kimekukataa.
 
Back
Top Bottom