William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Bado akina Cadena wanataka kuonesha ufundi wao. Kufikia mechi ya Makilikili wachezaji watakuwa wanakimbia kama bata na viungo viko hoi kabisa.
Wanawafundisha wachezaji individual skills kama kupiga vichwa, kuruka, mazoezi ya kuchosha ya viungo uku umebaki mda mchache kukabiliana na Makikiri kiri.
Wachezaji wa simba ni wa timu kubwa. Wanatakiwa kufundishwa mifumo. Utimamu wa akili, mwili na mbinu za ushindi, mifumo ya kushambulia na kuzuia kama timu.
Daaah naapa Simba inatwangwa tena. Na kuwapa nafasi akina cadena tutajuta mno mbele.
Ata kibu atatukanwa sana muda huu.