William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kinachomzuia kocha mpya kuanza majukumu ni nini ?........ anyway Simba kwa sasa inachechemea.Bado akina Cadena wanataka kuonesha ufundi wao. Kufikia mechi ya Makilikili wachezaji watakuwa wanakimbia kama bata na viungo viko hoi kabisa.
Wanawafundisha wachezaji individual skills kama kupiga vichwa, kuruka, mazoezi ya kuchosha ya viungo uku umebaki mda mchache kukabiliana na Makikiri kiri.
Wachezaji wa simba ni wa timu kubwa. Wanatakiwa kufundishwa mifumo. Utimamu wa akili, mwili na mbinu za ushindi, mifumo ya kushambulia na kuzuia kama timu.
Daaah naapa Simba inatwangwa tena. Na kuwapa nafasi akina cadena tutajuta mno mbele.
Ata kibu atatukanwa sana muda huu.
Kwani Ahmed Ally kasemaje Jana? Kuwa mazoezi ya Banchikicha ni balaaBado akina Cadena wanataka kuonesha ufundi wao. Kufikia mechi ya Makilikili wachezaji watakuwa wanakimbia kama bata na viungo viko hoi kabisa.
Wanawafundisha wachezaji individual skills kama kupiga vichwa, kuruka, mazoezi ya kuchosha ya viungo uku umebaki mda mchache kukabiliana na Makikiri kiri.
Wachezaji wa simba ni wa timu kubwa. Wanatakiwa kufundishwa mifumo. Utimamu wa akili, mwili na mbinu za ushindi, mifumo ya kushambulia na kuzuia kama timu.
Daaah naapa Simba inatwangwa tena. Na kuwapa nafasi akina cadena tutajuta mno mbele.
Ata kibu atatukanwa sana muda huu.
Nafikiri wameanza leo. Jana IG ya Simba walisema "wametembelea mazoezi ya timu"Mbn picha za mtandaoni zinaonesha Benchinka yuko field na vijana wake
Wameanza tayari ondoa hofuNafikiri wameanza leo. Jana IG ya Simba walisema "wametembelea mazoezi ya timu"
Unadhani jmosi benchi jipya wataongoza timu wakati wamefundisha siku moja na kesho timu inasafiri? Mimi nadhani kwenye mechi hiyo Simba ijilipue, itumie wachezaji ambao wamekuwa hawatumiki mara kwa mara kina Duchu, Mwenda, Kennedy, Mwanuke ili timu ipate fresh energy. Likitokea la kutokea mashabiki wataelewa nia ilikuwa nzuri.Wameanza tayari ondoa hofu
Sasa kama sessions zote mbili wamesimamia hawa wapya maana watakaa wao bench , ila hata hao akina cadena waamini tu ,hahahahahaMleta mada yuko sahihi kwa kiasi fulani. Unadhani jmosi benchi jipya wataongoza timu wakati wamefundisha siku moja na kesho timu inasafiri?
Unachambua pumba as if una cheti cha ukocha kumbe tutusa tuBado akina Cadena wanataka kuonesha ufundi wao. Kufikia mechi ya Makilikili wachezaji watakuwa wanakimbia kama bata na viungo viko hoi kabisa.
Wanawafundisha wachezaji individual skills kama kupiga vichwa, kuruka, mazoezi ya kuchosha ya viungo uku umebaki mda mchache kukabiliana na Makikiri kiri.
Wachezaji wa simba ni wa timu kubwa. Wanatakiwa kufundishwa mifumo. Utimamu wa akili, mwili na mbinu za ushindi, mifumo ya kushambulia na kuzuia kama timu.
Daaah naapa Simba inatwangwa tena. Na kuwapa nafasi akina cadena tutajuta mno mbele.
Ata kibu atatukanwa sana muda huu.
Najua watakuwepo benchi kutoa ushauri ila nadhani Cadena bado ataiongoza timu. Tusubiri tuone.Sasa kama sessions zote mbili wamesimamia hawa wapya maana watakaa wao bench , ila hata hao akina cadena waamini tu ,hahahahaha
Alienda mchana kuangalia mazoezi tu. Alivyoyaona papo hapo akaanza na kazi. Ni kama aliona timu inakufa. Lakini Cadena aliomba aongoze mechi ijayo na kocha awaangalie tuMbn picha za mtandaoni zinaonesha Benchinka yuko field na vijana wake
Alipelekwa kuangalia tu. Ikabidi aanze program hapo hapoKwani Ahmed Ally kasemaje Jana? Kuwa mazoezi ya Banchikicha ni balaa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ila ili awe huru cadena na watokeAlienda mchana kuangalia mazoezi tu. Alivyoyaona papo hapo akaanza na kazi. Ni kama aliona timu inakufa. Lakini Cadena aliomba aongoze mechi ijayo na kocha awaangalie tu
Mpaka nivitume humu et