Akina dada heshima ni kitu cha bure!

Tangu unusurike kufa bwawa la kizungu ushakuwa zoba sana🤣🤣🤣
Ulitaka useviwe..
Mume?
Mpenzi?
Wanawake wako kama ile mashine ya kusaga ya diesel ya kuwasha kwa hendeli.
Jinsi unavyozungusha ndivyo speed huongezeka...hatimaye kuwaka...
Unaanza na majaribio baadae toto linakolea na kuwa zouzou juu yako na linajikuta linakuita mume wangu ghafla🤣🤣🤣🤣
 
Demi unanitafuta...😂
Kijana wenzako wakivuliwa nguo namna hii wanachutama. Wewe unazidi kupigana huku uko uchi. Iwe umetunga, iwe ni kweli limetokea lakini inaonyesha jinsi ulivyo na utoto kwenye haya mambo. Kila unavyozidi kujibizana ndivyo unavyozidi kuumbuka. Nadhani hata wewe hukutegea kuwa utadharaulika na kushushuliwa hivi ulipokuwa unaposti hii thread. Ulidhani utapewa sifa kuwa kweli wewe ni kidume.
 
😂😂Pale mada inapokusaliti. Unaweza kukimbia uzi
''Kiswahili murefu'' wanaita wakenya. Ukiwa na maneno mengi unajikuta unatoa siri nyingine ambazo hukutakiwa katu kuzitoa. Nimecheka kweli kweli. Yaani kuna thread nyingine unaanzisha lakini inakuumbua mpaka unataka kuomba mod waifute unashindwa uanzie wapi. Kweli huyu ''chawa'' kaumbuka. Ndiyo maana hawa wanawake wanamuona ni chawa tu.
 
Hakuna kipindi sensitive kama kujamiana day one...huo ni ufunguo ambao unaweza kufungulia mapenzi motomoto au dharau ya kudumu.
Ni vyema usifanye vitu ambavyo huns uhakika wa mwitikio upande wa pili.

Mkishajuliana kwa muda ndivyo unaweza kucheza ndani ya mipaka ya mwenzio.
Kufanya vitu kwa mazoea utapoteza mtu wa thamani hivi hivi
 
Kuna kipindi alizama swimingi pulu nahisi maji yaliingia kwa ubongo KENZY 🤣🤣🤣🤣🤣( utani bablai)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…