an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,026
- 2,211
ila wewe jamaa fala sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni kidume mkuu hutaki kafie mbeleKijana wenzako wakivuliwa nguo namna hii wanachutama. Wewe unazidi kupigana huku uko uchi. Iwe umetunga, iwe ni kweli limetokea lakini inaonyesha jinsi ulivyo na utoto kwenye haya mambo. Kila unavyozidi kujibizana ndivyo unavyozidi kuumbuka. Nadhani hata wewe hukutegea kuwa utadharaulika na kushushuliwa hivi ulipokuwa unaposti hii thread. Ulidhani utapewa sifa kuwa kweli wewe ni kidume.
Inakera...anamtoa mtu kwenye mstari, kamnyamazia bado tu.[emoji23] Alishindwa kumvumilia
🤣🤣 Mkuu mi mwenyewe mod mbona mi sioni aibu asalaleee''Kiswahili murefu'' wanaita wakenya. Ukiwa na maneno mengi unajikuta unatoa siri nyingine ambazo hukutakiwa katu kuzitoa. Nimecheka kweli kweli. Yaani kuna thread nyingine unaanzisha lakini inakuumbua mpaka unataka kuomba mod waifute unashindwa uanzie wapi. Kweli huyu ''chawa'' kaumbuka. Ndiyo maana hawa wanawake wanamuona ni chawa tu.
Kiufupi amenikata stimu,mambo ya kitoto sana mie nimekuhurumia na kukutunuku tunda alafu unaleta ushenzi wa mimi nani yako?eti mchumba shwain!Wewe ndiye una kiherehere. Wewe si upige moto mpaka aanze kuongea yote mwenyewe? Ndiyo, wewe ni chawa. Kwani hiyo papuchi iligeuka kuwa ya mende?
Mtu umemuita mara tatu na haonekani kukuitikia,bado unalazimisha. Eti baby,
Unapenda kudanganywa? Nenda katafute kahaba aliyekubuhu, dole tu anapiga ukelele Dar na mlandizi. Umuulize wewe nani? Atakuambia wewe mungu wake. Ili ufurahi
Msiwe mnalazimisha. Wengine kuwauliza maswali ya kipuuzi yanawakata stimu pia. Msome mtu, ukiona ana muelekeo basi nenda naye huo muelekeo.
Kwanza kupata muda wa kuuliza maswali ni kuonyesha gemu hujalimudu sawasawa. Punguzeni kuangalia porn.
Binafsi sipendi maswali maswali wakati wa shoo,tabia za kijinga mwanaume unapata wapi huo mda,kulia ni kazi za kikeHivi huo muda wa kuongea hayo yote hua mnaupata wapi wakati wa kukaza.....[emoji2955] kwakweli huo ni udhaifu mkubwa sana, ulitakiwa uchochee hadi neno pekee angeweza kusema ni maji ya kunywa...[emoji5]
Alafu unakuta hata hana maajabu,anataka kusifiwa uongo tuMtoa uzi ni ch*ko tu...yaani hata demu hajamwaga unataka kumfanyia intererrogation!
Sidhani kama tutapiga hatua.Asubuhi subui unawaza mapenzi
Waombe mods wafute huu uzi kiukweli nakuheshimu sana ila kwa hili umeharibu mno,hizi sio tabia za mwanaume anayejitambuaKuwa na adabu mkuu
Nakuheshimu mkuu chutama,kama ulikuwa unafanya huo utoto jitahidi ubadilike ok?binafsi sipendi hizo pigo za sijui unaisikia,mara ni tamu na mambo mengine,ikiwa tamu si nitaongea tu?ukinikoleza si ntakuita jina zuri tu,kiufupi uliborongaNyinyi ndo mnabaka mapenzi
Tatizo sio kuongea, ni the way anavyo uliza haisisimui. Game inapendeza maneno ya hapa na pale lkn kihivyo mmh sijuiYaani ninavyopenda fujo hizo hata angeniita mbwa koko ndio ningefurahi balaa😂😂😂
Huna ujuzi ila mbishi tu,ukimkoleza mtu ataongea mwenyeweSiwaombi niombe ujinga kama umeshindwa kuchukua ujuzi hapa nenda kwenye ule Uzi wa magovi
Ebu imagine mtu kakushobokea na hata huna mpango nae amekusumbua maybe na vipesa juu ukaona poa tuu hii sio sabuni wacha nimpe tu,mara ghafla anaanza kuuliza mi ni nani yakoTatizo sio kuongea, ni the way anavyo uliza haisisimui. Game inapendeza maneno ya hapa na pale lkn kihivyo mmh sijui
Umeniangusha asee, so waweza shawishiwa na pesa na sio upendo?😂😂😂Ebu imagine mtu kakushobokea na hata huna mpango nae amekusumbua maybe na vipesa juu ukaona poa tuu hii sio sabuni wacha nimpe tu,mara ghafla anaanza kuuliza mi ni nani yako