Akina dada msipende kuwadharau vijana mnaofanyanao kazi ofisini

you speaking from experience M2mishi ?
 
mbaya zaidi na ujauzito mnatuachia
 
Ntakupigia tuongee vzr kuhusu hili suala
 
ila mimi mwanume naye fanya naye kazi au yupo mtaa mmoja na mimi siwezi tembea naye hatas iku moja ,, na hijawahi tokea

Yan kudadeki umetoboa mule mule....

Sijawahi t*mba dem tuko nae kitaa kimoja wala kua na mahusiano...tokea nikue. I just dnt see it right.
 
Yan kudadeki umetoboa mule mule....

Sijawahi t*mba dem tuko nae kitaa kimoja wala kua na mahusiano...tokea nikue. I just dnt see it right.
naona kama si sawa nikiwaza kubanjuliwa na jamaa wakitaa halafu kila mara tunaonana aisee ni ngumu
 
naona kama si sawa nikiwaza kubanjuliwa na jamaa wakitaa halafu kila mara tunaonana aisee ni ngumu

Exactly....alaf on my side mambo ya kugandana sitaki. Wengine ving'angazi mpaka kero.

Niliwahi mega dem flan nikamuweka wazi kabsa dat nina mtu na nina malengo nae (kuwe na limits)....her too same thing ana mtu but hajaolewa yet.

Sijawahi furahia mchepuko kama ule tokea nizaliwe....cz hasumbui, ni muelewa nd she z up to standards...ni basi tu damu zetu zimetokea kuivana.
 
kuna mademu waelewa ila kuna wengine wanatka muonekane pamoja kama njiwa
 
Mbona wakat ule wa kujipikilisha ulikuwa huogopi?!...
wakati ule nilikuwa sibinjuliwi binjuliwi kama wakati huu.. mara mguu upo kona mara ile .. mara sijui mbwa staili yani jamaa anasanua kila sehemu anaona loh mi sitaki aisee
 
wakati ule nilikuwa sibinjuliwi binjuliwi kama wakati huu.. mara mguu upo kona mara ile .. mara sijui mbwa staili yani jamaa anasanua kila sehemu anaona loh mi sitaki aisee
Sasa kwani uliyekaa nae mtaa mmoja na usiyekaa nae yote si sawa tu inapokuja issue ya kubanjuka
 
ila mimi mwanume naye fanya naye kazi au yupo mtaa mmoja na mimi siwezi tembea naye hatas iku moja ,, na hijawahi tokea
Dada hatuzungumzii umalaya(kutembea tu na mtu kama ulivyocomment), tunazungumzia uchumba hatimae ndoa!
 
Sasa kwani uliyekaa nae mtaa mmoja na usiyekaa nae yote si sawa tu inapokuja issue ya kubanjuka
akiwa mbali na mtaani inakuwa afadhali sababu nakuwa huru na najiamini .. ila kiwa kitaa mmh kujishtukia kwingi aisee
 
Dada hatuzungumzii umalaya(kutembea tu na mtu kama ulivyocomment), tunazungumzia uchumba hatimae ndoa!
ha haha ndoa tuanaanzia kwenye hayo hayo mkuu.. halafu maana ya umalaya ni pana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…