Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Kwahiyo jamaa yako akiwa karibu unakuwa unajishtukia kufanya kitu?!akiwa mbali na mtaani inakuwa afadhali sababu nakuwa huru na najiamini .. ila kiwa kitaa mmh kujishtukia kwingi aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo jamaa yako akiwa karibu unakuwa unajishtukia kufanya kitu?!akiwa mbali na mtaani inakuwa afadhali sababu nakuwa huru na najiamini .. ila kiwa kitaa mmh kujishtukia kwingi aisee
Dada acha tabia yako ya udukuzi wa wanaume kwenye mitandao!pole wanakudharau eehh hawajui watakukumbuka
wakati mwingine huwa hivyo.. halafu unamaswali kama mpelelezi wahiii niacheKwahiyo jamaa yako akiwa karibu unakuwa unajishtukia kufanya kitu?!
Dada acha tabia yako ya udukuzi wa wanaume kwenye mitandao!
Ndoa tunaanzia kwenye hayo hayo(uzinzi)??? Uzinzi ni dhambi mbaya sana kwani ndiyo dhambi pekee ambayo huchafua mwili ndani na nje na ndoa itokanayo na uzinzi imelaaniwa!!ha haha ndoa tuanaanzia kwenye hayo hayo mkuu.. halafu maana ya umalaya ni pana aisee
Pale maeneo sikuonagi ukiwa na aibu paja njeeewakati mwingine huwa hivyo.. halafu unamaswali kama mpelelezi wahiii niache
ameni.. kwa sasa nadhani zimelaaniwa nyingi .........Ndoa tunaanzia kwenye hayo hayo(uzinzi)??? Uzinzi ni dhambi mbaya sana kwani ndiyo dhambi pekee ambayo huchafua mwili ndani na nje na ndoa itokanayo na uzinzi imelaaniwa!!
huko ni mbaki na kitaaaPale maeneo sikuonagi ukiwa na aibu paja njeee
teh!teh!teh!!ameni.. kwa sasa nadhani zimelaaniwa nyingi .........
Jamaa anashika kiunohuko ni mbaki na kitaaa
ndiyo maana yakeJamaa anashika kiuno
Ndo changamoto ya qwerty k&l are so closehuko ni mbaki na kitaaa
Hiyo kweli.Tuombe mungu tuu unaweza ukamjua mpaka mpaka kitovu chake kilipozikwa na akakutenda ukatamani akhera na bado mzima,chamsingi nikumtanguliza mwenyezi mungu mbele kwenye kila jambo khasa hili ....
Ni kweli kabisaaaa. Kuna frnd yangu mmoja namfahamu vzr kabisa yaan ni mlev tena wa viroba na kingine mchaaafu kias kwamba nikasema huyo sijui if atapata mtu. Bt huwez amin kaoa mwaka juzi had nikajiuliza huyo mwanamke hajaona uchafu wote huo na ulevi masaa24? Nikagundua kuwa ni kwasababu mimi na tunao mzunguka tunamfahamu zaidi kuliko huyo msichana ( mkewe) ndio maana akaoa lakin kwa mtaani kwetu asingepata hata wa kusingiziwa cz kila msichana alikua anamuona majangaUnajua sio kama wanawadharau, bali ni ile hali ya kukujua tabia zako vyema kwa vizuri kabsaa bila utata ndio inafanya tusiwe na nyinyi wa kazini au mitaani au mliotuzunguka karibu. pengine haziendani na matakwa yetu, hata kama ni wewe tumeishi mtaa mmoja na ulikwua unaona jinsi nilivyomjeuri kwa mama yangu na muda mwengine kuongea hata maneno ya kijeuri, akili yako inakuwa ishajenga mawazo ya kwamba huyu msichana hafai, lakini kuna mtu wa mbali kabsaa ananiona namfaa ni kwa vile hajui tabia zangu nyengine n.k., au wewe ulikuwa unaona jinsi nilivyokuwa nikigombana na dada zangu kisa usafi na kupika au kuchelewa kurudi n.k., kuna tabia tunajuana moja kwa moja zinaturudisha nyuma both side, kwa wanaume na wanawake.
Wee mie naongelea kuwasaidia lakini Nina wake watatu tayari kwa dini yangu yaniruhusu kuongeza mmojaInaelekea kuna wadada ofisini kwao wamemdharau
Hiyo kweli.