Akina dada msipende kuwadharau vijana mnaofanyanao kazi ofisini

akiwa mbali na mtaani inakuwa afadhali sababu nakuwa huru na najiamini .. ila kiwa kitaa mmh kujishtukia kwingi aisee
Kwahiyo jamaa yako akiwa karibu unakuwa unajishtukia kufanya kitu?!
 
ha haha ndoa tuanaanzia kwenye hayo hayo mkuu.. halafu maana ya umalaya ni pana aisee
Ndoa tunaanzia kwenye hayo hayo(uzinzi)??? Uzinzi ni dhambi mbaya sana kwani ndiyo dhambi pekee ambayo huchafua mwili ndani na nje na ndoa itokanayo na uzinzi imelaaniwa!!
 
Ndoa tunaanzia kwenye hayo hayo(uzinzi)??? Uzinzi ni dhambi mbaya sana kwani ndiyo dhambi pekee ambayo huchafua mwili ndani na nje na ndoa itokanayo na uzinzi imelaaniwa!!
ameni.. kwa sasa nadhani zimelaaniwa nyingi .........
 
Kuna ukweli flani hivi. Vp umetumia fursa vizuri nini?
 
Mtoa amada umenikumbusha mbaaalii sana,
Nilifanaya kazi ktk shirika moja la afya, sio siri tulionekana wa kawaida pale na hatukuonekana watu wa kuwafaa wale wadada.Nikapata kazi ktk kampuni kubwa la simu, na matibabu tulikuwa tunatibiwa ktk lile shirika.!
Ghafla nikaanza kuonekana lulu kwao,miaka 2 baadaye nikaoa mtoto mzuri, wao wako wako tu.
 
Tuombe mungu tuu unaweza ukamjua mpaka mpaka kitovu chake kilipozikwa na akakutenda ukatamani akhera na bado mzima,chamsingi nikumtanguliza mwenyezi mungu mbele kwenye kila jambo khasa hili ....
Hiyo kweli.
 
Ni kweli kabisaaaa. Kuna frnd yangu mmoja namfahamu vzr kabisa yaan ni mlev tena wa viroba na kingine mchaaafu kias kwamba nikasema huyo sijui if atapata mtu. Bt huwez amin kaoa mwaka juzi had nikajiuliza huyo mwanamke hajaona uchafu wote huo na ulevi masaa24? Nikagundua kuwa ni kwasababu mimi na tunao mzunguka tunamfahamu zaidi kuliko huyo msichana ( mkewe) ndio maana akaoa lakin kwa mtaani kwetu asingepata hata wa kusingiziwa cz kila msichana alikua anamuona majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…