Akina dada msipende kuwadharau vijana mnaofanyanao kazi ofisini

Sheria na taratibu za kazi haziruhusu kuwa na mahusiano sehemu za kazi. Hisia zako acha nyumbani hapo ni sehemu ya kazi.
 
Hivi ni kweli kina dada mmeshindwa kabisa kupambanua kuwa huyo chalii ni fake na huyu yuko real hadi muishie kumegwa na kuachwa...
Wanaume wanawatambua wanawake wa sampuli hii, ndio maana wanawamega na kuwaacha.
 
Sio mmuza magazeti Bali ni dalali.
 
Bora umekuwa muwazi, hongera
 
Umeona hilo ndio tatizo kubwa.
 
Kumbuka huyo huyo jirani anaweza akaja akaolewa na mwanaume hana hata kitu ndio wanaanza maisha, au hapo hapo kazini kwako ukakuta msichana anachukuliwa na mtu sawa na wewe ilia mapenzi sio pesa tu kama unavyodahni, na usifikiri kila mwanamke yuko kipesa, chunguza ndoa nyingi watu wameanza na wako zao kwenye chumba, au nyumba za kupanga mpaka wanakuwa na maisha yao mazuri, waolewaji au wenye nia ya dhati ya kuolewa ni wachache wanaoangali pesa na ndio maana unakuta anaanza na mumewe wakiwa duni, wenye shida ya mabwana wa kuwawezesha ndio huangalia mshiko Zaidi. na wenye mshiko wengi si waowaji au unakuta tayari ameshaoa.
 
Mara Mitandaoni,Mara Mitaani,Mara Ofisini,Haya Ujumne Umefika Ingawa Confusingly.
 
Mapenzi ya sasa yamekuwa 50/50 hayana kanuni unawaeza amini huku kuna uafadhali kumbe ndo unajiingiza kwenye balaa.
 
Weka mfano
 
Yani tulioa tunaojuana nao na tunaofanya kazi pamoja tunafurahia maisha sana, ila ukitaka kufaidi maisha na mwanamke mfanyakazi usithubutu kufatilia mshahara wake hata Siku moja na hata ukiishiwa usimwombe hela Bali mkope na ukipata mrejeshee haraka sana.
 
Umesahau kuwaambia sio wakishakuwa tu na Masihano na mwanaume miezi 3 au mwaka basi anajilengeshea mimba, kwani huyo kakwambia anataka mtoto na hata akikwambia anasomekaa ? sio kila mapenzi mwisho wake baba vs mama
 
Bora Mchawi kuliko Mnafiki.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…