Akina Dada wa JF kuweni na huruma basi

Itabid utangaze bonus kwa wa5 wa mwanzo kuja pm mkuu
 
Yani nilivyoona heading tu ya huu uzi kabla sijau view nikajua maada lazima itakuwa ni kuwalalamikia madada wa humu Jf kwanini hawajibu message tunazo watumia Pm,? Hili suala limeshakuwa wimbo wa taifa la Jf,
kweli mkuu wengine tunapenda kupiga nao story lkni wanakausha
 
Nyie kina dada muoneeni huruma huyu fundi wajameni! Hebu mfuateni pm walau mmuombe hata pesa za lunch, salon, shopping nk!
Mkuu me nmekusapoti ila wakija tuletee mrejesho
Mmh mmh mmh.

Waende Pm kwa ajili hiyo tu. Duuh.
 
Hahahaaa. Kama mie nisamehe bure jamaani maana ni mvivu wa story acha tu.😜😜😜

Pia nauliza hizo story huko chumbani unataka uvumbue nini Mkuu?
tupeane madeal michongo company pia kufarijiana ushauri ni mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…