Hhahahaa kaka yake Yupi Jamani..Kumejaa Niko busy na kaka ake. Asubiri nimalizane nae ndo aje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uko ka mie dada.
Mambo hayo siyataki miee
Ooh. Basi tusubiri waje wale wanaopenda story Mkuu.vingine watuwatatia husda
aisee unaongea maneno makubwa makubwa mpaka macho yanatetemeka badala ya mdomo na mikono
sasa sikia weka kapicha nione hivyo vitu nasikiaga tu
Teh teh teh,,natumaini mu wazima
kama heading inavyosema hapo juu wakina Dada wa jf kuweni na huruma hata kidogo basi haiwezekani hata Siku mkaniamulia kuja pm kupiga story na mm ? kwani tuna ugomvi wowote wakina Dada naomba mnijibu
#YunGteMpEr
YES bishoo haswaaaaa
Hahaaaa. Ndio hapo sasa Teh teh teh.Yanachosha aisee hakuna chochote zaidi ya maswali unaniuliza nimekula nikikujibu sijala utanitumia hela ya kula
"Sultanaaaaaaaagh" bulaPolee
me dume ila wewe umesema dume la mbegu utofauti huo tayariSi umeniuliza mwenyewe sasa picha ya nn na wewe dume mwenzangu
Hahaaaa. Ndio hapo sasa Teh teh teh.
Hatari sana Dada
Dume la mbegu maana yake rijali ungekuwa mwanamke ungenishawishi nikutumie pichame dume ila wewe umesema dume la mbegu utofauti huo tayari
zingatia picha
sawa dume la mbegu nimenyoosha mikono juu mwendo wa matekaDume la mbegu maana yake rijali ungekuwa mwanamke ungenishawishi nikutumie picha
Lakini we mwanaume mwenzangu hapana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa dume la mbegu nimenyoosha mikono juu mwendo wa mateka
Kuhusu mchakato wa Tanzania ya VIWANDA mkuu 😎Story gani sasa mbona anataka kutupa lawama za bure. Kwa mfano naenda pm halafu namwambia nini
vp tenaTeh teh teh,,
ujue pm basi[emoji23][emoji23][emoji23]
wamegoma kabisa hom boyBlood angu fundí bishoo!.. hawa vyombo wamekugomea Pm mwana??