Akina Dada wa JF kuweni na huruma basi

Akina Dada wa JF kuweni na huruma basi

natumaini mu wazima
kama heading inavyosema hapo juu wakina Dada wa jf kuweni na huruma hata kidogo basi haiwezekani hata Siku mkaniamulia kuja pm kupiga story na mm ? kwani tuna ugomvi wowote wakina Dada naomba mnijibu


#YunGteMpEr
YES bishoo haswaaaaa
Teh teh teh,,
 
Dume la mbegu maana yake rijali ungekuwa mwanamke ungenishawishi nikutumie picha

Lakini we mwanaume mwenzangu hapana
sawa dume la mbegu nimenyoosha mikono juu mwendo wa mateka
 
nakumbusha:hadi sasa hakuna yeyote alokuja PM kwanini lakini
 
ngoja Leo nianze RASMI kuingia PM 😎

NITAFIKA TU WAKUU NA NITALETA MREJESHO MUJARABU KABISA Kama goli la DS15 😎
 
Back
Top Bottom