Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mmoja wa kinadada mkuu?Polee
Oooh. Wajua tena Swahiba wako nipo shamba hivyo nakuwa napata wakati mgumu hasaa kujua hizo mambo za mjini.Swahiba mambo ya mjini haya, tunakwenda kwa alama za nyakati
ati hamchati naye PM mpige hata story!tumemkosea nini tena?
Story gani sasa mbona anataka kutupa lawama za bure. Kwa mfano naenda pm halafu namwambia niniati hamchati naye PM mpige hata story!
story " tu' then kula kwaohela sina kaka ni kupiga story tu
dume la nini?Nimekwambia wanakuja mm ni dume mkuu tena rijali
nishavuka hzo stageWewe sio mdada?
Nadhani atakuja kujibu hili, vipi akija PM utamkaribisha?Story gani sasa mbona anataka kutupa lawama za bure. Kwa mfano naenda pm halafu namwambia nini
Nakazia Dada.
dume la nini?
Kumejaa Niko busy na kaka ake. Asubiri nimalizane nae ndo ajeNadhani atakuja kujibu hili, vipi akija PM utamkaribisha?
"njoo pm nikupe zawadi"Wapenda story wenzie na kuulizana maswali umekula nn uko wapi
Mm nilivyo mvivu na story na kuulizwa maswali hayo yamenikalia kushoto
"njoo pm nikupe zawadi"
kabisa kaka story tustory " tu' then kula kwao
HahahahahahahaaaaEbu niache uko mfyuuuuu
vingine watuwatatia husdaMmh. Hapa hadharani haiwezekani eee?
😂😂😂😂 Uko ka mie dada.Wapenda story wenzie na kuulizana maswali umekula nn uko wapi
Mm nilivyo mvivu na story na kuulizwa maswali hayo yamenikalia kushoto
aisee unaongea maneno makubwa makubwa mpaka macho yanatetemeka badala ya mdomo na mikonoDume la mbegu tena nina mkuyenge kitu mandingo sio kibamia