Akina Mama na akina dada, dudu za wenza wenu zikigoma kusimama msiwadhihaki muwabembeleze

Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Sio stress mkuu una njaa nenda kale kashibe uone damu inavyotembelea hio mirija ya damu nonstop kula shiba kunywa maji ya kutosha nenda kacheze inapochezwagwa

Unajua wanawake wajanja sana akishakuona hivyo yeye anajua kabisa wewe shida yako ni nini ila hakwambii
 
Mwanaume rijali(mwenye afya timamu ua kimwili ma kiakili).
Hahitaji kubembelezwa anapoona mwili wa mwanamke. Hata kushikwa hauhitaji. Mashine itasimama yenyewe.

Sababu ya uume kutosimama nyingi ni zakizembe kama
a) kutokula vyakula vya protein kama Mayai, nyama, maharagwe, maziwa, dagaa n.k.
b) kutokula vyakula au matunda yenye madini ya zinki na potassium kama ndizi mbivu, tikititi, kachumbari, parachichi, mbegu za maboga.

c) Mwili kutokuwa active(kutofanya mazoezi)
Jitu masaa mengi limekaa tuu. Kutembea halitaki, kukimbia halitaki. Kazi halifanyi.
Mzunguko wa damu unaathirika, uvutaji wa pumzi unakuwa dhaifu.

d) Kula hovyohovyo mavyakula yasiyo na tija mwilini.
e) Kutumia tumbaku(sigara) kuliko kawaida.
f) Kunywa pombe kupita kiasi.

Stress za maisha zinachangia kidogo sana nguvu za kiume kwenda chini.
 
Sikubaliani na hoja za kitoto kama hizi
 
Unakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika.

Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki.

Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Ishawahi kunikuta enzi za ujana.siku moja nimefanya uvuvi wa toto la kisukumu, toto lilikuwa jeupee halafu lina guu la bia hadi limepitiliza, huku na huku muda wa game umefika, piga stata piga stata, kama haisimami. Mtoto akaanza kunililia maana na yeye alikuwa amejikoki kupigwa mashine halafu yanakuja kutokea mambo ya hovyo. Hakika ile siku nilikuwa mnyonge sana.
 
Back
Top Bottom