chafya ngumu
JF-Expert Member
- Mar 29, 2026
- 493
- 1,682
Mtu afanye utafiti mdogo tu, wiki nzima usile ukashiba vizuri ukawa mtu wa njaa; uume nao hautasimama vzrUkiona unahitaji ushirikiano na mwanamke ujue testosterone zako ziko chini
Watu wanasimamisha wakiona mistari ya chupi huko mabarabarani, unazungumzia chumbani?
Ukimzoea mwanamke pia inaweza kupunguza ashki. Lakini sio kwa kiwango cha uume kushindwa mpaka msaada
Ninaweza kukuandikia vyakula vya Kula na activities za kufanya ndani ya Siku Saba tuu utanielewa ninazungumzia nini
Ila kula msosi kamili wiki ushibe vzr; utaona uume unavonesa kwa kujiamini