Mwanaume rijali(mwenye afya timamu ua kimwili ma kiakili).
Hahitaji kubembelezwa anapoona mwili wa mwanamke. Hata kushikwa hauhitaji. Mashine itasimama yenyewe.
Sababu ya uume kutosimama nyingi ni zakizembe kama
a) kutokula vyakula vya protein kama Mayai, nyama, maharagwe, maziwa, dagaa n.k.
b) kutokula vyakula au matunda yenye madini ya zinki na potassium kama ndizi mbivu, tikititi, kachumbari, parachichi, mbegu za maboga.
c) Mwili kutokuwa active(kutofanya mazoezi)
Jitu masaa mengi limekaa tuu. Kutembea halitaki, kukimbia halitaki. Kazi halifanyi.
Mzunguko wa damu unaathirika, uvutaji wa pumzi unakuwa dhaifu.
d) Kula hovyohovyo mavyakula yasiyo na tija mwilini.
e) Kutumia tumbaku(sigara) kuliko kawaida.
f) Kunywa pombe kupita kiasi.
Stress za maisha zinachangia kidogo sana nguvu za kiume kwenda chini.