Acha tuHahaha nimechoka sana sasa itakuwaje ngoma unakataa wakati umeenda kwa ajili hiyo hiyo?
Ilibidi game irudiwe uwanja mwiingine
Acha tuHahaha nimechoka sana sasa itakuwaje ngoma unakataa wakati umeenda kwa ajili hiyo hiyo?
Zomatunzo ya nini
Nimekuja, sasa kama haisimami je hujui watu wanajiamulia tu huoni hata hiyo mashine haisimami imeshajiamulia na huna la kufanyq hata kama mwenza wako akipiga kelele haisaidii kitu .namsubiri SweetyCandy aje atoe maoni yake kwenye hii mada.
NimechekaSioni sababu , taya.
Uzuri ni haujataja bhangiMwanaume rijali(mwenye afya timamu ua kimwili ma kiakili).
Hahitaji kubembelezwa anapoona mwili wa mwanamke. Hata kushikwa hauhitaji. Mashine itasimama yenyewe.
Sababu ya uume kutosimama nyingi ni zakizembe kama
a) kutokula vyakula vya protein kama Mayai, nyama, maharagwe, maziwa, dagaa n.k.
b) kutokula vyakula au matunda yenye madini ya zinki na potassium kama ndizi mbivu, tikititi, kachumbari, parachichi, mbegu za maboga.
c) Mwili kutokuwa active(kutofanya mazoezi)
Jitu masaa mengi limekaa tuu. Kutembea halitaki, kukimbia halitaki. Kazi halifanyi.
Mzunguko wa damu unaathirika, uvutaji wa pumzi unakuwa dhaifu.
d) Kula hovyohovyo mavyakula yasiyo na tija mwilini.
e) Kutumia tumbaku(sigara) kuliko kawaida.
f) Kunywa pombe kupita kiasi.
Stress za maisha zinachangia kidogo sana nguvu za kiume kwenda chini.
Hili swala limeshawahi kuvunja ndoa mbili tatu nazijuwa.Unakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika.
Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki.
Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Halafu hao wanawake walioachwa kwa sababu ya kusambaza hayo maelezo kwa masampa wao wa huko nje ukiwaangalia mikono yao imekomaa utadhani Jini na muda mwingi hua wanataka wasifiwe hata wakijambaHili swala limeshawahi kuvunja ndoa mbili tatu nazijuwa.
Kisa kwa mwanamke kutoa siri kwa wenzake nawo wakaisambaza, ilipowafikia wanaume ndoa zilikufa papo hapo, cha kushangaza wanaume walipata wenza wapya na wanao mpaka leo!
Kina mama wapo tu wanapata madume na kuacha au kuachwa!
Hatarii sana sana sana
Hormone za mwanaume akitukanwa au kudharauliwa ndiyo anadindisha usipokuwa hivyo tutakuwa na wasiwasi na weweUnakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika.
Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki.
Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Toa mavi yako hapa.Hormone za mwanaume akitukanwa au kudharauliwa ndiyo anadindisha usipokuwa hivyo tutakuwa na wasiwasi na wewe
Mie anajua akitaka apariliwe kisawasawa aonyeshe dharau tu aki ya nani mamamaeee