ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Nitakuja Pm kama unahisi utaleta sintofahamu hapaHapana sitaliandika ntaleta sintofahamu tu.
Kwa sababu pengine umri wangu unafanya niongee ukweli sana ambao haitakuwa mzuri
Nitakuja Pm kama unahisi utaleta sintofahamu hapaHapana sitaliandika ntaleta sintofahamu tu.
Kwa sababu pengine umri wangu unafanya niongee ukweli sana ambao haitakuwa mzuri
Hapana hapa tulikuwa tunajadili kama mtu na dada yake.....Nitakuja Pm kama unahisi utaleta sintofahamu hapa
🤝Hapana hapa tulikuwa tunajadili kama mtu na dada yake.....
Mdogo wangu wa mwisho ana miaka 32 nakuchukulia hivyo hii ilikuwa changamsha genge tu.
Pm iko wazi ila huwa sijibu mpka nione ni muhimu au niwe na shida.
Kuwa na amani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimejikuta nacheka kwanguvu hatasijui nacheka ninNa utambi unasomekwa ivo ivo tu 😁😁
Mtego huu, Mungu nifundishe kunyamazaIntelligent businessman vikigoma Huwa unajisikiaje?
Inasimama itembeeInatokea , inategemea na vipaumbele, sasa hauna pesa unasimamisha ili iweje ?
Matumizi mabaya ya kusimama bwasheeInasimama itembee
Ndo nautaka huo ukweli, usininyime 😎Hapana sitaliandika ntaleta sintofahamu tu.
Kwa sababu pengine umri wangu unafanya niongee ukweli sana ambao haitakuwa mzuri
Kangara zimekuchachia Ndugu muuz kangaraUnakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika.
Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki.
Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Ukweli huu ni wa wanawake best we haiwezi kukusaidia.Ndo nautaka huo ukweli, usininyime 😎
Hahaha nimechoka sana sasa itakuwaje ngoma unakataa wakati umeenda kwa ajili hiyo hiyo?Ishawahi kunikuta enzi za ujana.siku moja nimefanya uvuvi wa toto la kisukumu, toto lilikuwa jeupee halafu lina guu la bia hadi limepitiliza, huku na huku muda wa game umefika, piga stata piga stata, kama haisimami. Mtoto akaanza kunililia maana na yeye alikuwa amejikoki kupigwa mashine halafu yanakuja kutokea mambo ya hovyo. Hakika ile siku nilikuwa mnyonge sana.
Nitakupasua matako bila kilanishi.eti kibamia hicho! dume suruali huyo hana jipya kitandan kisu kibutu.
Labda atundikie koti.Inatokea , inategemea na vipaumbele, sasa hauna pesa unasimamisha ili iweje ?
Kabisa, kuna mda mtu anaweza asikuombe hata mia ila jinsi alivyo tu , ukatoa hata mamilioniNa demu akishaanza kuongea shit ndio haitosimama tena hata kama kulikua na matumaini, basi chuma ndio inanywea nyweeeeee!!!
Nb wanawake msiongee maneno ya shombo unapoona imegoma kwa sababu ndio utaiharibu kabisa saikolojia.
Wanawake wanalijua hili vizuri sana ila sometimes wanafanya makusudi tu anaekuelewa na kukupenda kweli hawezi kufanya na wewe km haujala tena sio kula kula tu unatakiwa ule vizuri 2 hours before hujaingia kwenye show unatakiwa ule na unywe maji ya kutosha litapigwa mbungi hapo sio la nchi hiiKula vizuri uone kama chuma itakuwa inadoji
Uume na Kula ni kama uji na mgonjwa
Kunakua na trial test 3 ukizipita zote wewe mbabe wa kunyanyua hormone ya kiume Testosterone, test ya kwanza ni self control ya pili ni resistance trial na ya 3 ni intuition, ukizipita zote hizo umetoboa maneno yake ya shombo kuna namna ya kuyakata km haonyeshi resistance especially ukishafika kwenye intuition trial ila akionyesha resistance ya hali juu ndio shida inaanzia hapo kwa hio ukishapita resistance trial unaingia kwenye last trial ambayo ni intuition na hio ukivuka unafika climax umekojoa, sasa wanawake wanazuia hapo kwenye trial no 2 resistance anakurudisha trial no 1 self control km huwezi kujicontrol mwenyewe huwezi kusimamisha uumeNa demu akishaanza kuongea shit ndio haitosimama tena hata kama kulikua na matumaini, basi chuma ndio inanywea nyweeeeee!!!
Nb wanawake msiongee maneno ya shombo unapoona imegoma kwa sababu ndio utaiharibu kabisa saikolojia.