Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Sio kweli ,utambi kushindwa kusimama una sababu nyingi za kisaikolojia na kitabibuNdio ukisikia neno "mwanaume" ujue sio rahisi. Yaani hata kuwekana tu, utambi ukishindwa kukaa sawa uanaume wako uko mashakani. Wenzetu aaaaah, anachanua hapo, utamaliza mwenyewe.
Si ndio hivyo mangiii, sasa saikolojia ikikaa vibaya kidogo tu mambo yanaharibika, wenzetu aaah!!Sio kweli ,utambi kushindwa kusimama una sababu nyingi za kisaikolojia na kitabibu
Sio stress mkuu una njaa nenda kale kashibe uone damu inavyotembelea hio mirija ya damu nonstop kula shiba kunywa maji ya kutosha nenda kacheze inapochezwagwaUtasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Inatokea , inategemea na vipaumbele, sasa hauna pesa unasimamisha ili iweje ?Si ndio hivyo mangiii, sasa saikolojia ikikaa vibaya kidogo tu mambo yanaharibika, wenzetu aaah!!
Kwamba mtu akikosa pesa hana haki ya kufurahia uumbaji?Inatokea , inategemea na vipaumbele, sasa hauna pesa unasimamisha ili iweje ?
Kisaikolojia inakataa ,hili tatizo linachangiwa na mambo ya Kisaikolojia bwasheeKwamba mtu akikosa pesa hana haki ya kufurahia uumbaji?
Janga la taifa hilipole
Hakuna kitu km hiki stress unapewa na ulienae kitandani sio maisha maisha mnayasingizia tu kula shiba ulienae connect nae enjoy the show connection ibakie palepale km mnacheza bluziStress za maisha zinachangia kidogo sana nguvu za kiume kwenda chini.
Sikubaliani na hoja za kitoto kama hiziMwanaume rijali(mwenye afya timamu ua kimwili ma kiakili).
Hahitaji kubembelezwa anapoona mwili wa mwanamke. Hata kushikwa hauhitaji. Mashine itasimama yenyewe.
Sababu ya uume kutosimama nyingi ni zakizembe kama
a) kutokula vyakula vya protein kama Mayai, nyama, maharagwe, maziwa, dagaa n.k.
b) kutokula vyakula au matunda yenye madini ya zinki na potassium kama ndizi mbivu, tikititi, kachumbari, parachichi, mbegu za maboga.
c) Mwili kutokuwa active(kutofanya mazoezi)
Jitu masaa mengi limekaa tuu. Kutembea halitaki, kukimbia halitaki. Kazi halifanyi.
Mzunguko wa damu unaathirika, uvutaji wa pumzi unakuwa dhaifu.
d) Kula hovyohovyo mavyakula yasiyo na tija mwilini.
e) Kutumia tumbaku(sigara) kuliko kawaida.
f) Kunywa pombe kupita kiasi.
Stress za maisha zinachangia kidogo sana nguvu za kiume kwenda chini.
Sikubaliani na hoja za kitoto kama hizi
Ishawahi kunikuta enzi za ujana.siku moja nimefanya uvuvi wa toto la kisukumu, toto lilikuwa jeupee halafu lina guu la bia hadi limepitiliza, huku na huku muda wa game umefika, piga stata piga stata, kama haisimami. Mtoto akaanza kunililia maana na yeye alikuwa amejikoki kupigwa mashine halafu yanakuja kutokea mambo ya hovyo. Hakika ile siku nilikuwa mnyonge sana.Unakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika.
Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki.
Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Hakuna kitu km hiki stress unapewa na ulienae kitandani sio maisha maisha mnayasingizia tu kula shiba ulienae connect nae enjoy the show connection ibakie palepale km mnacheza bluzi
Nguvu za kiume ni chakula,kula vizuri shiba!!Sikubaliani na hoja za kitoto kama hizi