Akina Mama na akina dada, dudu za wenza wenu zikigoma kusimama msiwadhihaki muwabembeleze

Unajua hili ni tatizo la kisaikolojia na linaathili wanaume karibu 80%. Lile tendo linahitaji ushirikiano wa mwanamke sana.

Ukiona unahitaji ushirikiano na mwanamke ujue testosterone zako ziko chini

Watu wanasimamisha wakiona mistari ya chupi huko mabarabarani, unazungumzia chumbani?

Ukimzoea mwanamke pia inaweza kupunguza ashki. Lakini sio kwa kiwango cha uume kushindwa mpaka msaada

Ninaweza kukuandikia vyakula vya Kula na activities za kufanya ndani ya Siku Saba tuu utanielewa ninazungumzia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…