Akina RC, KKKT, SDA na Anglican msimchukie tu Mwamposa, bali jiulizeni mmekosea wapi na kawazidi nini sawa?

Nipe ukweli.

Halafu haya maji ya baraka huwa yanapatikana kwa wingi wakati wa Pasaka, na kipindi cha Pasaka kawaida mvua hunyesha, na hapo ndipo huyakinga na kuweka chumvi halafu watu wanagawiwa kwenye vyupa.
P
Hukingwa kwa usafi
Huwekwa chumvi mbichi
Huombewa kwa mistari maalumu ya zaburi kwa siku 41, katika hali ya purity!,
Usije ukajichotea tu na kuweka chumvi. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mimi huwa ninatengeneza ya kwangu na huwa ninapata matokeo.
 

Paulo alifanya miujiza sio mazigaombwe.
 
Acha uongo jumuiya unaenda ili ukitokea msiba kwako ama sherehe upate ushirikiano wa wana RCโ€ฆโ€ฆ.unasemaje unakua kiroho akati ndani yako unajua sio kweliโ€ฆ.umekua kiroho kufika level zip mfano

Wewe ndio unawaza hivyo. Jumuiya hazijaanza Leo Wala Jana. Zilikuwepo tangu 1920 hapa Tanganyika.
 

Kama huwezi kufuata masharti ya RC tafuta dhehebu jingine linalokufaa ambalo utakuwa mshirika jina tu.
 
Hahahah, Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii dunia
 
Mkuu PEFA, FPCT, TAG, ELIM na PHM wanabatiza kwa utatu Mtakatifu.
Yeah!...Ila tunaamini kwenye ubatizo wa maji mengi tena baada ya mtu kuamini na kuokoka.

Hatubatizi watoto wachanga.
 
Acha upumbavu, mafuta anauza buku tuu tena hadharani na keki wanakula bure tunaona kwenye tv ya arise and shine. Uongo unakusaidia nini?
 
Huyu popoma juzi kasema kwenye mkesha wa cow way mademu wanaenda kujiuza kwa buku sasa kajisahau kapeleka demu wake akajiuze!
Huyu kalaaniwa nilisema.
 
Leta tu

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Wakae na ujinga wao...wanajifanya wao ndio Deputy Mungu.
 
Nimefuatilia kujiridhisha kuhusu Mwamposa kuuza mafuta, maji, keki ya upako.
Siyo kweli hauzi na yupo live kwenye Media sasa acha uongo wa shetani toa ushahidi wapi umeona anauza mafuta laki? Jumapili ijayo katangaza kula keki ya upako umesikia atauza bei gani?

Mimi siyo Mwamposa ila niliamua kupata ukweli, ila huyu jamaa kafanikiwa sana na kasema anayetaka hela za sadaka nae afunge turubai aite watu wakampe sadaka.
 
Kwa taarifa yako hayo makanisa yanayo milikiwa na mtu mmoja mmoja chunguza uhai wake toka yaanzishwe na yalipo kwa sasa hata huyo mwamposa ni muda wake huu ila kuna muda unakuja hutomsikia zaidi ya kuuliza alipotelea wapi? (Kakobe, Kulola, Malisa, na wengine uwajuao waliovuma kipindi chao kwa sasa ni vipi?)

Lakini fatilia KKK, RC, SDA ni miaka mingapi toka waanzishe hayo makanisa yao kabla hata ya uhuru wa Tanzania zaidi yanazidi kutanua matawi yao.
Lakini hayo makanisa ya kumilikiwa na mtu mmoja mmoja ndo hivyo yeye ndo kila kitu(kusema, utaratibu wa ibada, utunzaji fedha umiliki wa mali)
Na hata usomaji wa biblia yeye ndo anajua kufafanua mafungu ya kwenye biblia wengine hakuna kitu zaidi kupelekeshwa kama ngโ€™ombe!

Hata habari ya wokovu na kuacha dhambi kwenye hayo makanisa hakuna ni miujiza na utajiri ndo mahubiri yao.
(Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ