Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
PNipe ukweli.
Halafu haya maji ya baraka huwa yanapatikana kwa wingi wakati wa Pasaka, na kipindi cha Pasaka kawaida mvua hunyesha, na hapo ndipo huyakinga na kuweka chumvi halafu watu wanagawiwa kwenye vyupa.
Mimi huwa ninatengeneza ya kwangu na huwa ninapata matokeo.Hukingwa kwa usafi
Huwekwa chumvi mbichi
Huombewa kwa mistari maalumu ya zaburi kwa siku 41, katika hali ya purity!,
Usije ukajichotea tu na kuweka chumvi. 😁😁