Akiondoka usimpokee tena! Hiyo ni sumu ya taratibu, bado hajajifunza lolote

Tangu na barehe nakuzijua nimeshawahi rudiana na Ex wangu mara1 tu Tena Mimi ndo nilkuwa mkosefu na sikukubali kosa akajiroga penzi liishe hata kujibu sikumjibu ndo ikawa mwisho hata wa kumtafuta.


Badae akaja yeye mwenyewe nikampokea. Tofauti na ha huyo sijawahi kukubali kurudiana na Ex hata amtumie nani kunishawishi mwingine alienda mbali akisema nisipo msamehe atajiua nikamwambia yamkini utakuwa umeandikiwa utakufa namna hiyo.
 
Kumbe una msimamo ila kaoe acha kuzini mkuu.
 
Kwamba wanaroga
Mwanamke akishazaaa mode yake ya ufikiriaji, mtazamo wake kuhusu wanaume na maisha kiujumla unabadilika either anaweza kua positive sana au negative sana, kijana anaeanza kujitafuta akikutana na single mother yupo positive ni rahisi sana kunasa

Kingine hawa single mother wengi ni watu wanaojihulisha ni rahis kijana kua trapped Kwa kuona atapata mwenza supportive lkn baadae mambo humbadilikia
 
Ni kweli kutegemea pesa ya singo maza nikupoteza dira ya maisha anaanza kukutawala hata nyumbani, kuna siku hata kusimanga vibaya.
 
Mpaka leo bado mnalia na mapenzi?
 
Tatizo unafiki, washkaji zangu kibao walikua na mitazamo hii sioi single mother, akizingua natimua, sioi mapema etc wengi wameoa single mothers 😁😁
Sio unafiki, unaeza Kuta ni kweli washkaji zako hawapendi kuoa single mother, ila utakuta kwa bahati mbaya hao ndo aina ya wanawake wanaoweza kuwapata.

Wadada wengine wanaficha wanaume kuwa Wana watoto, mtu unakuja gundua ukweli ushayavagaa ndoani na kusema ooh shit kumbe mke uliemuoa tayari alikuwa na mtoto😁 Mpaji Mungu
 
Mambo ya mitandaoni sio ya kuamini hata kidogo.
Ila kumbuka wanao shida mitaani ndo hao hao wanao andika mitandaoni kwahiyo ni wale wale na misimamo yao, kumpokea huyu singo maza ni sawa sawa kama kupokea timing bomb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…