Akisimama 2025; Narudisha kadi ya CCM hadharani

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.

2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.

Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.

Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
 
Bara bara kabisa ndugu mtangazaji . Hana pumzi ya kusimama 2025. ...Bado hata sindano hazijaanza kumwingia kashaweweseka.

Kuna watu watakuja kuongea anaweza kuzimia.

Screenshot_20230813-195325.jpg
 
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.

2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.

Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.

Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Unaongelea nani? Wewe nani hata CCM ikupaparikie, wameondoka kina Lowasa na wakarudi, itakuwa wewe unayejificha nyuma ya keyboard?

CCM haitegemei kura za wenye kadi za CCM pekee, kama ulikuwa huelewi basi leo umeelewa.
 
Huna msimamo wewe wala uelekeo. Yaani hadi 2025?
Sasa unasubiri nini na unang'ang'ania nini hadi sasa?
 
DAH. Ila wewe.

Ni itu gani serikali ya Samia itafanya hadi wewe uje hapa uisahihishe?. Nahisi wewe kila kitu ni ndio.

Natabiri hadi 2025 utakuwa umeshachoka kuisifia kila ikifanya jambo la kiboya.
 
Kitu usichoelewa ni kuwa Serikali ya mama Samia anfata sera za CCM, ntaisahihisha kama itatoka nje ya sera za CCm.

Umeelewa?
 
Wapi CCM imeandika itagawa mali asili za nchi?

Sera anafuata ila njia anayopita sio sahihi. Ukielewa hilo utamwambia atumia njia sahihi.
 
Huna msimamo wewe wala uelekeo. Yaani hadi 2025?
Sasa unasubiri nini na unang'ang'ania nini hadi sasa?
Kuna team yake inasubiri kwa hamu ....!
👊 😅✌️✌️✌️💥
TIME TO DO AWAY WITH DA WHOLE MONSTER, ... NOT JUST A PART OF IT!
 
Uwaziri atampa nani? Huyo apelekwe hospitali ya wehu.
makuwadi ya samia na warabu koko dpworld mwambien mamayenu kanda ya ziwa wamepanga kumtoa nyongo kwenye uchaguz 2025 na nyie wapiga zumari mtanyooshwa mpaka mtie adabu.
 
Back
Top Bottom