Akisimama 2025; Narudisha kadi ya CCM hadharani

Unaongelea nani? Wewe nani hata CCM ikupaparikie, wameondoka kina Lowasa na wakarudi, itakuwa wewe unayejificha nyuma ya keyboard?

CCM haitegemei kura za wenye kadi za CCM pekee, kama ulikuwa huelewi basi leo umeelewa.
CCm inauhakika wa kuiba
 
Unaongelea nani? Wewe nani hata CCM ikupaparikie, wameondoka kina Lowasa na wakarudi, itakuwa wewe unayejificha nyuma ya keyboard?

CCM haitegemei kura za wenye kadi za CCM pekee, kama ulikuwa huelewi basi leo umeelewa.
Inategemea ujinga wa policcm na wakurugenzi kuiba kura haijawahi kushinda. #BANDARI yetu isiuzwe
 
Vyovyote utavyofikiri ni sawa.

Miaka yote uibiwe wewe tu? Utakuwa ni poyoyo wa hali ya juu kama unashindwa kulinda haki yako.
 
Kitu usichoelewa ni kuwa Serikali ya mama Samia anfata sera za CCM, ntaisahihisha kama itatoka nje ya sera za CCm.

Umeelewa?
2025 tunaenda na upinzani huyo bi tozo wenu arudi zenj akakae na wajukuu keshazeeka hana jipya
 
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.

2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.

Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.

Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Hakuna ngazi itakayoachiwa, uzuri ni kwamba hata ukiachia kadi hadharani huna pa kwenda maana So Urais Wala wingi wa wabunge hamuwezi pata

Samia Yuko hapa haid 2030 ,hizo ramli hazitawasaidia
 
Huyu atawagawa wapiga kura.

Huyu aje awe waziri fulani inatosha. Kwenye Urais kura zitagawanyika mno.
Mimi nashauri hiyo nafasi ya ugombea nafasi ya urais arudishwe Dr.Slaa ndo kiboko yao.
 
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.

2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.

Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.

Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Nadhani ungeanza kurudisha Kabla ya 2025
 
DAH. Ila wewe.

Ni itu gani serikali ya Samia itafanya hadi wewe uje hapa uisahihishe?. Nahisi wewe kila kitu ni ndio.

Natabiri hadi 2025 utakuwa umeshachoka kuisifia kila ikifanya jambo la kiboya.
achana nae huyo wanafanya nchi mahali yao Mungu atapindua meza watu wa mtazamo mwingine watachukua nchi hii
 
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.

2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.

Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.

Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Njaa tu inakusumbua!
 
Kushinda hawezi isipokuwa NEC ndiyo itampitisha
 
Hakuna ngazi itakayoachiwa, uzuri ni kwamba hata ukiachia kadi hadharani huna pa kwenda maana So Urais Wala wingi wa wabunge hamuwezi pata

Samia Yuko hapa haid 2030 ,hizo ramli hazitawasaidia
Ndio mnajifariji.
 
Back
Top Bottom