Akisimama 2025; Narudisha kadi ya CCM hadharani

Vyovyote utavyofikiri ni sawa.

Miaka yote uibiwe wewe tu? Utakuwa ni poyoyo wa hali ya juu kama unashindwa kulinda haki yako.
Siasa za afrika ni ujuha mtupu. Mm sio mwana siasa na sina chama ila CCM ni wezi lipo wazi
 
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.

2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.

Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.

Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
bila shaka utakuwa na ushawishi kuliko Lowassa, Kingunge, Maalim Seif, Aboud Jumbe, Mrema, Sumaye, Fundikira, n.k

Ally Karume Mtoto wa Muasisi wa ASP kishapoteza kadi ya uanachama na hata Mtoto wa Baba wa Taifa Ndugu Charles Makongoro Nyerere aliondoka nae CCM Baba yake akiwa Hai
 
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.

2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.

Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.

Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Wanamchosha na maokoto asifike huko akiwa na siha njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyewahi kumuona sheheh wa aina hiyo atuambie ili tujiandae kumkubali.
 
Bara bara kabisa ndugu mtangazaji . Hana pumzi ya kusimama 2025. ...Bado hata sindano hazijaanza kumwingia kashaweweseka.

Kuna watu watakuja kuongea anaweza kuzimia.

View attachment 2717045
Huyu Cartoonist ni kiboko! Kamuonyesha mama alianza kwq sura yake halisi lakini kadri muda uliyosonga akawa wanabadilika na kufanana na Jiwe. Picha ya mwisho mama ana komwe kama Jiwe kabisa.

Ingekuwa na kitabu cha Ufunuo kwenye Biblia, tungesema "Mama akanena kama joka"...
 
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.

2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.

Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.

Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
Kadi alirudisha Kingunge na bado ccm ikashinda
 
Bara bara kabisa ndugu mtangazaji . Hana pumzi ya kusimama 2025. ...Bado hata sindano hazijaanza kumwingia kashaweweseka.

Kuna watu watakuja kuongea anaweza kuzimia.

View attachment 2717045
Utashaangaa samia alivyona roho ngumu ,bado atasimama hiyo 2025 na kusema tuwe wazalendo kwa nchi yetu.hii itskuwa ni dharau kwa watanzania kwa kweli
 
Kadi yako ina nguvu kuliko ya mh Lowasa tujiandae na mshtuko?
 
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.

2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.

Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.

Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p

Usifanye mchezo na kukimbiza marathon ya uchaguzi mkuu, Ile kitu sio mchezo afu huku unapigwa sindano kule unapigwa bomba utaweza zima hoja? Mana wakati huo haina Ile kubambikizia watu kesi za uhaini na pia inahitaji big brain kuongea na wananchi wakuelewe sasa zipo? Mana hufanyi ziara wala huzindui hata kamradi kokote sijui utawaleza nini raia na itakuwa ni kipindi cha khali ngumu ya kimaisha na kiuchumi kiujumla sioni iyo nguvu ya kupeperusha iyo bendera ya rangi ya nyasi za kijani.
 
Future prime minister Makamba Yuko humu?
Tumpime kwenye u pm kwanza kabla hatujampa kazi ngumu.
 
Huwa ni balaa tupu.
 
Future prime minister Makamba Yuko humu?
Tumpime kwenye u pm kwanza kabla hatujampa kazi ngumu.
Huyu hatakiwi kuwa sehemu yoyote - Basi mzimu wa baba yake umemzukia.
 
Utarudisha kadi wewe lakini uchaguzi ambao tutashinda mapema,bila ata uwepo wako,kwani DP World si issue ya kutufanya raisi wetu mpendwa asigombee kwani tupo imara,tutamlinda usiku na mchana tambua tu Taifa kwanza na uzalendo ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom